Dalili ya kushindwa kwa Felix Tshisekedi tayari imeonekana

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Tayari Felix Tshisekedi ameanza kuonyesha Dalili ya kushindwa kwenye kampeni hizi.

Tayari sheria ya nchi yetu imeamuru kuwa Moise Katumbi ni mkongomani na ana haki ya kugombea urais wa nchi hii.

Inawezekanaje Felix Tshisekedi kwenye kampeni zake anatumia maneno ya kibaguzi kumtukana mpinzani mwenzako kuwa sio mkongomani.

Hapa sheria ifuate mkondo wake haya ni maneno ya kibaguzi
Hii ni Dalili ya kushindwa
Tulivyokuwa tunawaambia kuwa Moise Katumbi ni popularity sana zaidi ya Felix Tshisekedi katika nchi yetu na wakongomani wengi wanataka kutawaliwa na Katumbi mlifikiri tunawadanganya
Leo tuko wapi

Kilichomponza Felix Tshisekedi ni promises zake ambazo hawezi kutimiza kwa miaka mitano.

Yaani mtu ana promise kwa miaka mitano ya urais wake atageuza Congo kuwa Ujeremani ya Afrika
Matokeo yake

Ndo haya sasa wakongo hawamtaki kila anakoenda anaimbiwa nyimbo za kumkejeli. Labda apite kwa wizi

Na hilo ni ndoto Moise sio Fayulu
 
Kama si ufisadi, ubadhirifu, hujuma za ndani na nje.

Kongo inaweza kupiga hatua kubwa na si kongo tu mataifa mengi ya afrika(tukiwemo na sisi tanzagiza)
 
Unawafahamu viongozi wengi wa afrika mkuu?,hapo mshindi ni felix na hakuna kitu mtafanya.
 
Kama waliamua kumpa uraia na kisha kupata sifa ya kugombea uraisi na ukizingatia alishakuwa gavana wa Katanga, sioni hapo anaukosaje huo urais wa DRC.

Na hiyo nchi ilivyochafuka sasa ni afadhali Moise aichukue, wakongomani wa miaka hii ya utawala wa Tsiked wamekuwa na tabia mbaya kama ilivyokuwa kipindi cha Mobutu.

Katanga imekuwa na migodi mingi sana na kama Moise ni 'chaguo' la wenye migodi hiyo sidhani kama ataukosa huo urais.
Cc: mtuchake njoo utie neno hapa.
 
Tayari Felix Tshisekedi ameanza kuonyesha Dalili ya kushindwa kwenye kampeni hizi.

Tayari sheria ya nchi yetu imeamuru kuwa Moise Katumbi ni mkongomani na ana haki ya kugombea urais wa nchi hii.

Inawezekanaje Felix Tshisekedi kwenye kampeni zake anatumia maneno ya kibaguzi kumtukana mpinzani mwenzako kuwa sio mkongomani.

Hapa sheria ifuate mkondo wake haya ni maneno ya kibaguzi
Hii ni Dalili ya kushindwa
Tulivyokuwa tunawaambia kuwa Moise Katumbi ni popularity sana zaidi ya Felix Tshisekedi katika nchi yetu na wakongomani wengi wanataka kutawaliwa na Katumbi mlifikiri tunawadanganya
Leo tuko wapi

Kilichomponza Felix Tshisekedi ni promises zake ambazo hawezi kutimiza kwa miaka mitano.

Yaani mtu ana promise kwa miaka mitano ya urais wake atageuza Congo kuwa Ujeremani ya Afrika
Matokeo yake

Ndo haya sasa wakongo hawamtaki kila anakoenda anaimbiwa nyimbo za kumkejeli. Labda apite kwa wizi

Na hilo ni ndoto Moise sio Fayulu

Huu uzi inabidi ufutwe maana umeenda nje ya mahesabu
 
Back
Top Bottom