Serekali hii inatupenda kweli

Serekali hii inatupenda kweli

Msaranga

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2009
Posts
956
Reaction score
229
Jamani kitendo cha serekali hii ya awamu ya nne kutenga bilioni nane kwa viongozi wastaafu wasiozidi kumi na kutenga bilioni 5 tuu kwa hospitali za rufaa ambazo zinawahudumia watanzania wote na bunge kupitisha (wabunge wa ccm)kweli ina nia nzuri na sisi raia wake kweli? Mimi ninamashaka.
Naomba kuwasilisha wanajamii tuchangie
 
Jamani kitendo cha serekali hii ya awamu ya nne kutenga bilioni nane kwa viongozi wastaafu wasiozidi kumi na kutenga bilioni 5 tuu kwa hospitali za rufaa ambazo zinawahudumia watanzania wote na bunge kupitisha (wabunge wa ccm)kweli ina nia nzuri na sisi raia wake kweli? Mimi ninamashaka.
Naomba kuwasilisha wanajamii tuchangie
kazi ipo
 
Hii nayo niserikali yakujitambia nibora ukajichagulia taifa alafu ukawa mzalendo wa kimawazo mmmmmtuke!
 
From first Place nawaomba kama kweli Hizo hela zipo kwa ajili ya Afya za hao wastaafu, Basi Haraka hizo hela zitumike kununua vifaa vya Hospitalini kama T Scans, X ray Machines na Kuboresha Hizo hospitali za rufaa ili hawa Wastaafu waweze Kutibiwa Hapa kwetu na Hivyo Vifaa vitasaidia pia Kutibu watanzania Wengine!! Kweli Kupanga ni Kuchagua na kama Hujui Kuchagua ni Tabu Tupu!! Kwani Hata Ukipelekwa India na kufanyiwa T scanning Pale Utaongezewa Maisha?? Kwa nini tusitumie Hizo Hela Kuboresha Huduma za afya Nyumbani ili na hawa Wastaafu wapate Huduma nzuri hapahapa???
 
Ndio maana hawawezi kushughulikia madai ya madaktari kwa kuwa wana uhakika wa afya zao,nahofia sana siku na sisi tutakaposema LIWALO NA LIWE!
 
mvuja jasho atachangiwa kwenye mazishi na sio matibabu!
 
Hawa viongozi wastaafu kwanza waliiba sana na wana mali nyingi sana......hii gharama ya nini tena?
 
Kama hawa viongozi wamekufikisha mpaka hapa bila kuchinjana, au kuikimbia Nchi km Somalia, Burundi, nk unataka nini tena? Hayo madai ya Hospital ni makubwa sana na ikiangalia hao madaktari wanashughulikia Hospital chache tu tena za Rufaa
Km na wewe ni mmojawapo goma na ondoka nchini kaishi hata Mombasa lakini utarudi tu km wenzako wa majuzikati, huwezi kuuachia Mgomo eti ni udaktari haikusaidii picha imeshaisha tunaganga mengine km kuvuna na kuchunga, hatudanganyiki kila mtu atakula alipopangiwa
 
Back
Top Bottom