Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,191
- 18,828
Ndio mkuu kawashirikisha chemical, nandy michupi, Alice na Maua Sama.Kuna remix yake kumbe?
Ndio mkuu kawashirikisha chemical, nandy michupi, Alice na Maua Sama.Kuna remix yake kumbe?
Kwanini ukasema hivyo wapo wanaume wanao jielewa hapa. Unaweza kukuta mtu hapa ana mapenzi ya kweli na akakufuta machozi uliolizwa mwanzo. Keyboard na uhalisia ni vitu tofauti huwezi kujua kuogelea mpaka ujifunze kuogelea.Sidhani Kama anaweza kutokea huku