Aiseee Makebo yakounajipigia chapuo
hili ndio tatizo humu jf watu kuwa na ID kumikumi
ni ugonjwa unaoitwa "Split personality disorder," more accurately called Dissociative Identity Disorder (DID)
Ni rahisi kama mgonjwa ni mwanaume kuingiwa na vishwawishi kuwa shoga
Namdai BashiteNgoja nimalizie
komboa familia hapa kawe kwa amwamposa
nkirudi ntakuja wapendwa
wenye majina ya mnaowadai leten inbox ndoo maombiyaleo
Hakika unastaili kua platinumJamiiforums inaongozwa kwa kanuni na taratibu, akate rufaa au kama vipi avumilie tu kifungo.
Wakati mwingine BAN humfanya mtu awe bora zaidi.
Tumakianzio mkuu nikuletee mafuta na maji delivery bure kuanzia maji ya 50000 na mafuta ya 30000..popote ulipo darNamdai Bashite
Mods sasa hivi hawafanyi masihara. Ukijaribu kwenda kinyume na utaratibu wa hapa wanakupa tu talaka zakoMod aliye mpa Seran ban hakufanya haki. Kama ulimtongoza akakutolea nje na ukampa ban u are a castrated mosquito ila kama kuna mengne behind the scene still u are a cow+a+r+d. Labda kama wanatukanana huko dm au mnajuana ni sawa but still u are porcupine. Free Seran na upige ban m PAK and those guys who the only thing they know ni matusi tena ya mzazi wa mtu Seran hajawahi toa tusi la nguoni. Ila kama vigezo vya ban ni multiple ids ban till 2030.
welk said bro lakin mbona watu humu ndani wanaenda kinyume na taratibu lakin bado wapo na wanatamba. Na ndio maana nikasema kama kigezo cha ban ni multiple ids ban them lakin kama ni jingne hata mimi nafaa ban tena life ban but wanipe warning kwanza coz uchungu wa kidole ni zaidi ya ban mara mia.Mods sasa hivi hawafanyi masihara. Ukijaribu kwenda kinyume na utaratibu wa hapa wanakuoa tu talaka zako
Hata mimi nashangaa watu Bado wanaendelea kutukana, lakini si wote wanaopewa ban.welk said bro lakin mbona watu humu ndani wanaenda kinyume na taratibu lakin bado wapo na wanatamba. Na ndio maana nikasema kama kigezo cha ban ni multiple ids ban them lakin kama ni jingne hata mimi nafaa ban tena life ban but wanipe warning kwanza coz uchungu wa kidole ni zaidi ya ban mara mia.
Hata mimi nashangaa watu Bado wanaendelea kutukana, lakini si wote wanaopewa ban.
Hapo kwenye multiple IDs niko tofauti kidogo na wewe kwa sababu humu huwezi kutumia ID hiyo hiyo kuelezwa vitu fulani fulani.
Kwa mfano, mtu kama pascal Mayalla ambaye anafahamika wazi wazi inaweze kumuwia vigumu kuja humu kusema anasumbuliwa labda na fangas za mapumbu kwa ile ID yake tunayoijua. Lazima awe na ka I'd kakufanya awe huru kueleza ishu yake humu.
ukinitukana niambie sababu ya kunitus na pas hata kama na id nynge haitumii vibya au anajua anao watukana pasipo mgoro goro. Vituko kando, niliwahi kupita patrol angamiza matusi jf na watu wakajiele coz sio lazma ujibu kwa tusi tena unatag mtu. Na kweli watu wengi waliacha au walipunguzaa mitusi yao. Achana nayo.Hata mimi nashangaa watu Bado wanaendelea kutukana, lakini si wote wanaopewa ban.
Hapo kwenye multiple IDs niko tofauti kidogo na wewe kwa sababu humu huwezi kutumia ID hiyo hiyo kuelezwa vitu fulani fulani.
Kwa mfano, mtu kama pascal Mayalla ambaye anafahamika wazi wazi inaweze kumuwia vigumu kuja humu kusema anasumbuliwa labda na fangas za mapumbu kwa ile ID yake tunayoijua. Lazima awe na ka I'd kakufanya awe huru kueleza ishu yake humu.
Yes, kama mtu ana ID zaidi ya Moja na anatumia bila kubughudhi wengine hakuna haja ya kuziunganisha ila kama anazitimia vibaya basi hazina budi kuunganishwaukinitukana niambie sababu ya kunitus na pas hata kama na id nynge haitumii vibya au anajua anao watukana pasipo mgoro goro. Vituko kando, niliwahi kupita patrol angamiza matusi jf na watu wakajiele coz sio lazma ujibu kwa tusi tena unatag mtu. Na kweli watu wengi waliacha au walipunguzaa mitusi yao. Achana nayo.
ok.🐒Ni binti mpole sana na anayejiamini sana ndoh maana anakubalika sana na wengi.hakuna posti inapita hajatagiwa kwa kwel ni mtu wa watu!
you are wrong mr, jf id fake sio tatizo kumbuka hapa umeingia using your email, using your phone number na ukaambiwa edit your user name si ndio? Lakin unasahau the more important details kisa umejiita tairi la mbuzi. You must get a ban. Coz tunatukanana humu na inaisha and most members tunatumia ai hata kama sijui kifaransa lakin ntakavoguna tu au kusema mbona matusi mr hapo ndo tatizo na ids zako zote zipo. So what next?moja kati ya vitu vya kitahira ni kujenga hisia na mitazamo fulani juu ya ID fake za jeiefu..Jambo lakizoba kabisa