Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Swali gani
Fafanua!!

Leta na ushahidi!!Wa nigeria kusafiri jimbo moja kwenda lingine unahitaji visa???

Wa canada kusafiri jimbo moja hadi lingine kuhitaji visa na Ubelgiji pia??

Pia lete mifano na ushahidi kuwa kwenye hizo nchi Mkazi wa jimbo moja haruhusiwi kupata kazi jimbo lingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Let’s ushahidi na uthibitisho hapa kwa hizo nchi ulizozitaja

Ukishindwa nawaambia mods wabadili id yako from Bia yetu to Certified Kilaza!!! Sawasawa??
 
Remix ya wimbo wa Taifa
Ishu ya corona
Serikali ya majimbo
Kutetea ushoga..

Lissu andaa tu nauli ya kurudi ubelgiji hamna mtanzania wa kumchagua mgombea urais mwingi wa vioja
 
Ndio maana anaitwa msaliti wa Nchi
Ndio maana nakuambia hamna serikali kama kuna msaliti na bado ana uhuru na anawahenyesha kama ww unavyoshupaza mku.ndu hapa jukwaani kuhalalisha hoja yako
 
Mnataka kuigawa Nchi ili mrahisishie Mabeberu kuiba raslimali zetu ?

Mmeula wa chuya Huyo lissu atarudi ubeligiji kwa aibu
Nchi zote zina majimbo kasoro TZ ..kwahiyo hizo nchi zooote mabeberu wamechukua?

Na China mnayoona ndio nchi ya kuiga ina majimbo,mabeberu wamechukua?

Pumbavu wewe
 
Huo ubaguzi mnaotaka kuuleta Tanzania hautatokea

Nchi zinazoongozwa kwa sera ya majimbo zipo kwenye mpasuko mkubwa sana,

Kama mnataka majimbo wafuateni mabwana zenu ubeligiji
Sidhani kama kuna chochote unachoelewa kuhusu Federal System of Government. Tuambie nchi zenye mpasuko zilizo na serikali ya majimbo (Federation).

Otherwise, usiongelee usichokifahamu kwa sababu tu ya kushabikia udikteta ambao ukichunguza sana utakuta hata wewe hunufaiki nao.
 
Huo uwongo wako peleka ubeligiji tu

Duniani Nchi zinazoongozwa kwa sera za majimbo ni chache sana

Na ndio zinaongoza kwa ukabila, udini, ufukara nk

Kama mnataka sera za majimbo hamieni ubeligiji
Mkuu

Naona upo kwenye denial....hii ni dalili ya kua na bipolar disorder aisee

China,Kenya,USA,India,SA,etc....nchi bora kabisa hizi,hakuna umasikini au ufukara unaosemea wewe maiti....

Mfumo wa kikoloni ndio mnafata mpaka leo,wehu nyie

Na by the way...hii hoja ya Chadema ingekua sio hoja nzito usingekuja hapa kuongelea chochote....

Ni hoja kali na wananchi wameelekea kuipenda ndio maana hamlali mamaee zenu..

Sera zimetolewa nyingi,hamjaona na zingine hii tu ndio inawapeleka mamaeeee...mnajua ni the best sera na wananchi wameipenda...

Go kill yourselves you colonialists...fvck yall!
 
Wapiga magoti wa CCM mmeishiwa sana hoja , bila shaka mpaka akiri zenu zitakuwa zimepiga magoti vichwani mwenu .
 
Kwa sera hiyo ya Majimbo, CDM hampati kura nyingi. Mkibahatika sana mnaweza kupata 5% ya Rais, 7% Ubunge na 6% Udiwani.
 
Hadi sasaivi hujajibu swali langu unaparamia tu hoja za watu. Kilaza wa kijani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…