Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Kama mnajiamini kweli basi wekeni ulingo wa mapambano uliowazi, nasio kutaka watu wapigane na huku mwingine kafungwa kamba mkononi na mwingine mikono yake haijafungwa kamba.

Hakuna kipindi ambacho mmekuwa waoga kama uchaguzi huu, halafu mnafanya vitu vya uonevu wa wazi wazi wakati mlikuwa mnadai mnapendwa na wananchi na mmefanya mambo mengi ya maendeleo.

Mwambie mgombea wenu aache uoga, ushujaa wa mwanaume kushinda vita ni kupambana kwa jitihada zako sio kubebwa bebwa kwa wazi kabisa hata mtoto mdogo anaelewa
 
Naaaaam hakika hawa mabwana ni waoga haijapata kutokea hata siku moja hahhah wanajitekenya sana na kucheka wao wenyewe.

Ni watu ambao hawana msimamo wala muelekeo na wamekosa hoja kabisa na badala yake wameamua kutafuta huruma kwa watu wengine.
Wakati wakitoka nje wanajinadi wanapendwa ila ndani moto unawaka aisee cha moto mwaka huu mtakiona.

Alafu tunawacheki tu basi mambo mnayofanya hayana mantiki na tija kwa wananchi wenu wapiga kura kabisa na ukweli usiopingika mwaka huu kama mkipata kura hata asilimia 15 mshukuruni Mungu.
Mjipange tena wadogo zangu hahahaha
 
Hii sera za majimbo za Chadema walizikopi kutoka kwa Mabeberu bila kujali athari zake
 
Ni muda muafaka kwa Watanzania kuwakataa hawa Chadema kupitia boksi la kura
Nchi yetu haiwezi kuongozwa na watu wanaolenga kuiuza kwa Mabeberu
 
Watanzania hatuna namna zaidi ya kuwaadhibu hawa Wasaliti wa Nchi
 
Back
Top Bottom