frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 241
Hawa wameandika kama ingetokea colona ndo madhara yakiuchumi yangetupataSasa kama una amini taarifa za world bank kwa nini usiamini na hii??!
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hawa wameandika kama ingetokea colona ndo madhara yakiuchumi yangetupataSasa kama una amini taarifa za world bank kwa nini usiamini na hii??!
Fafanua!!Swali gani
Kwani corona haikutokea kwetu??Hawa wameandika kama ingetokea colona ndo madhara yakiuchumi yangetupata
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Weka uthibitisho humu 😂😂😂😂😂Sio visa tu kwenda jimbo jingine bali pia unaulizwa kabila lako au dini yako
Kiufupi sera za majimbo zinaangamiza Nchi
Lakini tofaut na benk ya dunia vitu anavyofanya jpm tunaviona, hata kama hujuw kusoma kakn picha tunaonaAliyeuza raslimali zetu ni lissu kwani alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu
Haikuleta madhara kama benk ya dunia walivyotutabiria,, jpm kaishinda mpaka saiv kwa uweza wa mwenyez mungu tunaduda,, Tofaut na wabunge wa opposite walivyotaka bunge liahilishwe, sijuw bajet ingepitishwa na nan... Jpm mitano tenaKwani corona haikutokea kwetu??
Kama aliuza basi hatuna serikaliAliyeuza raslimali zetu ni lissu kwani alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu
Ndio maana nakuambia hamna serikali kama kuna msaliti na bado ana uhuru na anawahenyesha kama ww unavyoshupaza mku.ndu hapa jukwaani kuhalalisha hoja yakoNdio maana anaitwa msaliti wa Nchi
Nchi zote zina majimbo kasoro TZ ..kwahiyo hizo nchi zooote mabeberu wamechukua?Mnataka kuigawa Nchi ili mrahisishie Mabeberu kuiba raslimali zetu ?
Mmeula wa chuya Huyo lissu atarudi ubeligiji kwa aibu
Sidhani kama kuna chochote unachoelewa kuhusu Federal System of Government. Tuambie nchi zenye mpasuko zilizo na serikali ya majimbo (Federation).Huo ubaguzi mnaotaka kuuleta Tanzania hautatokea
Nchi zinazoongozwa kwa sera ya majimbo zipo kwenye mpasuko mkubwa sana,
Kama mnataka majimbo wafuateni mabwana zenu ubeligiji
MkuuHuo uwongo wako peleka ubeligiji tu
Duniani Nchi zinazoongozwa kwa sera za majimbo ni chache sana
Na ndio zinaongoza kwa ukabila, udini, ufukara nk
Kama mnataka sera za majimbo hamieni ubeligiji
Nenda Tanapa kaongee hayoHaikuleta madhara kama benk ya dunia walivyotutabiria,, jpm kaishinda mpaka saiv kwa uweza wa mwenyez mungu tunaduda,, Tofaut na wabunge wa opposite walivyotaka bunge liahilishwe, sijuw bajet ingepitishwa na nan... Jpm mitano tena
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hawaamini amini jinsi Corona ilivyopotea tzRemix ya wimbo wa Taifa
Ishu ya corona
Serikali ya majimbo
Kutetea ushoga..
Lissu andaa tu nauli ya kurudi ubelgiji hamna mtanzania wa kumchagua mgombea urais mwingi wa vioja
Sisi ndo watanzania na tunataka Sera ya majimbo. Hivyo tutawachagua chadema kwa kura nyingiHawapati mbunge hata mmoja hawa wakora
Hadi sasaivi hujajibu swali langu unaparamia tu hoja za watu. Kilaza wa kijani weweHuoni Kenya yanavyouana km kuku kwa sababu ya ugatuzi
Huoni South Africa ubaguzi unavyoitafuna Nchi yao, majimbo yenye umasikini yamezidi kuwa maskini zaidi
Huoni india udini unavyoangamiza taifa sababu ya majimbo, Waislamu na wahinndu wanauana km kondoo
Unataka nisema kuhusu USA ? Majimbo ya watu weusi yanabaguliwa kielimu kiafya nk
Nyie chadema mkiitwa hamjitambui mtakataa? Yaani mpo mpo
Nyie kikundi cha wahuni hiyo sera itaishia vyumbani mwenu tu tu
Nasubiri majibu yangu comrade😂😂😂😂Una hoja gani Wewe zaidi kulamba viatu vya msaliti wa Nchi