Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,785
- 44,649
Mtu anauza bidhaa analipia kodi anataka kutuma hiyo pesa kwa ajili ya matumizi analipia tena kodi ananunua umeme ambao upo chini ya Serikali na huduma yao analipia kodi tena..
sio kwamba hawajui wanajua...issue ni kwamba wakitoa hizo tozo fuko la serikali litashuka watalambaje asali na wakati hawana mbadala mwingine wa kutunisha fuko...zingatia..na sio kwamba hakuna namna nyingine zakutunisha fuko, ila ndo ni miradi ya makumazani wa nchi hii.Tuishauri serekali tufanyeje?,
*Makato ya miamala ni makubwa mno! (Unatoa 5000 unakatwa 700-800 hii ni ghali mno its should be 250/-) Ukizingatia hizi function ni automatic au autorun once set-up!/
Ikishashusha gharama ilazimishwe tu,manunuzi yote kariakoo yafanywe kwa mfumo wa card,swap au mobile!...
5000 ikatwe 250/-
10,000 ikatwe 500/-
100,000 ikatwe 1500/-
500,000 ikatwe 2000/-
1,000,000 ikatwe 2500/-
Tusio na simu hatuta nunua kitu?SIMU ZOTE AMBAZO ZITAKUWA ZINAPOKEA MALIPO MADUKANI ZIWE REGISTERD!....KWA NANNA YA KIPEKEE NAMBA YA SIMU IWEPO KWENYE LESENI!.....(KU-DIVERT MALIPO KATIKA NAMBA NYINGINE ADHABU IWE KUFILISIWA)
Utapaswa kuwa na card,hata kiswaswadu poa tu,Tusio na simu hatuta nunua kitu?
Card ya nida wameshindwa kunipa hadi leo, hayo macard mengine labda tuwape miaka 20 kukamilishaUtapaswa kuwa na card,hata kiswaswadu poa tu,
#Maisha ya ulaya ni kadi tu,zingine za gate pass,basi tunakuwa mfukoni na kadi mpaka 7.
Inawezekana ikawa kweli kukurupuka ila sifikiri hivyo.Tatizo kubwa la mambo mengi kukwama Africa, viongozi uwa hawajiandai na kitu chochote wanakurupuka tu. Sasa huo mfumo wa cashless huko ulitakiwa uangaliwe hayo makato yapunguzwe ili kumpa mlipaji unafuu au kuyafuta yote na kubaki na fees kidogo ili kuwaencourage watu wengi wautumie huo mfumo cashless.
Kukurupuka ndio asili yetu waafrika uwaga hatuna research yoyote kabla ya kuleta kitu kipya. Sasa kwa hayo makato anaeumia ni mlipaji. WTF.
Kumbe Manzese kwa mfuga mbwa wanatumia dollar siku hizi?Hio sera ya Cashless haiwezi kufeli kwa sababu wakubwa 1st world walishaanza kuitumia kitamboo sana nyie huko 3rd world ni mnapewa maelekezo tu mtafuata mtake msitake hio ndio New world order. Mie huku sijashika dollar kama dollar kwa miezi zaidi ya 6, ni mwendo wa cashless tu kila sehemu.
Well said ,yaani nilipie kitu cha elfu 10 then nikatwe 1,500/= wakati mfukoni nina SHUKA LA MMASAI ,kwanini nisilipe tu cash? Waondoe tozo na tukatwe kidogo maana kwenye hiyo fedha tayari serikali ina kodi yake.Tatizo kubwa la mambo mengi kukwama Africa, viongozi uwa hawajiandai na kitu chochote wanakurupuka tu. Sasa huo mfumo wa cashless huko ulitakiwa uangaliwe hayo makato yapunguzwe ili kumpa mlipaji unafuu au kuyafuta yote na kubaki na fees kidogo ili kuwaencourage watu wengi wautumie huo mfumo cashless.
Kukurupuka ndio asili yetu waafrika uwaga hatuna research yoyote kabla ya kuleta kitu kipya. Sasa kwa hayo makato anaeumia ni mlipaji. WTF.
Una fikiria kimaskini, serikali yetu pekee ndio inawaza kudhibiti na ku control kila kitu... ni njia ya kufanya watu wako kua watumwaSIMU ZOTE AMBAZO ZITAKUWA ZINAPOKEA MALIPO MADUKANI ZIWE REGISTERD!....KWA NANNA YA KIPEKEE NAMBA YA SIMU IWEPO KWENYE LESENI!.....(KU-DIVERT MALIPO KATIKA NAMBA NYINGINE ADHABU IWE KUFILISIWA)
Dunia ya sasa inaangazia kurahisisha, kuounguza gharama, kupunguzq mzigo na automatically the population hufatamaendeleo huambatana na gharama, tusiogope mabadiliko 🐒