Mwenzako hapo keshaingiza siku wala hajali kama thread inaeleweka au laMkuu @idawa,kwa heshima yako humu hustahili kuandika hivi. Umeandika kitoto sana
Wewe umeandika kitoto zaidi!Mkuu @idawa,kwa heshima yako humu hustahili kuandika hivi. Umeandika kitoto sana
Wewe ni kitoto mnoWewe umeandika kitoto zaidi!
mkuu umeandika kitoto. Hii ni factWewe umeandika kitoto zaidi!
Kwa heshima gani aliyonayo ?Mkuu @idawa,kwa heshima yako humu hustahili kuandika hivi. Umeandika kitoto sana. Ulipaswa kueleza jambo la maana
Hivi mkuu ni kweli ardhi ya Tanzania inamilikiwa na Raisi? na kama ndiyo ina maana mpaka hizi zetu tunazouziana au kurithi?Mkuu @idawa,kwa heshima yako humu hustahili kuandika hivi. Umeandika kitoto sana. Ulipaswa kueleza jambo la maana
Mkuu nimeweka screen shot ya Twitter Mbunge Halima mdee sera ya Chama kuhusu Ardhi naona kwa wengine haionekani....
Nchi kama Kenya hiyo ndo Sera yao, mbona hakuna vita ya kugombea ardhi ?Hii sera itatzua vita vya wenyewe kW wenyewe maana matajiri wamiliki ardhi kubwa huku wanyinge wakibakia bila ardhi.Matokeo yake itakua ni machafuko ndani ya nchi vita vya kugombea ardhi .Chadema itasababisha umwagaji wa damu Sera hii ni mbaya kwa Amani ya Tanzania.
Hapana mkuu tatizo ni premise uliyoitumia ku set premise yako. Hiyo ni sera jaribu kufanya deep analysis katika kuchambua athali zake badala ya ulivyofanya.Mkuu nimeweka screen shot ya Twitter Mbunge Halima mdee sera ya Chama kuhusu Ardhi naona kwa wengine haionekani....
Sheria ya Ardhi inatamka wazi kuwa ardhi ni mali ya wananchi/Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa mikononi mwa Rais kama Msimamizi mkuu. Hadi hapo,ardhi haimilikiwi na Rais.Hivi mkuu ni kweli ardhi ya Tanzania inamilikiwa na Raisi? na kama ndiyo ina maana mpaka hizi zetu tunazouziana au kurithi?
Idawa hayo ni maoni yako lakini ingekuwa vema kama ungefafanua vizuri kile kinachokufanya uiogope sera hiyo!View attachment 880155
Chadema hili swala la ardhi litawamaliza, Kama Baba wa Taifa angefuata hii sera yenu leo kungekuwa na mtu mmoja mwenye uwezo wa kumiliki mkoa mzima na kila kitu kilichomo ndani yake.
Kwa Tanzania sera ya ardhi imejitosheleza,
Ardhi inamilikiwa na watu 10 tu Vita itatokeaje?Nchi kama Kenya hiyo ndo Sera yao, mbona hakuna vita ya kugombea ardhi ?
Sio kweli, ongea unachofahamu, sasa Wakenya wengine wanaishi wapi !!!!!!Ardhi inamilikiwa na watu 10 tu Vita itatokeaje?