Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,282
Sasa cha ajabu ni kitu gani? Si alishaamuwa kuihama ccm kabla hata ya huo mkutano ndo maana?View attachment 915201
Mwanachama wa CCM anarudisha kadi ya CCM kwa CDM amevaa T-shirt ya CDM how, na pembeni jamaa kapiga gwanda? Hi ni propoganda mfu. Last kick of dying a donkey.
Bila kusahau na video ya X ya mwanaCcm Wema sepetuNa tigo ya Amber Ruttty
Huyu Gt amesahau vitaz ya panzinz....Kuna kitu hukijui kwenye sakata la Membe , wewe ni Great Thinker kweli ?
Ina utofauti gani na hizi?View attachment 915201
Mwanachama wa CCM anarudisha kadi ya CCM kwa CDM amevaa T-shirt ya CDM how, na pembeni jamaa kapiga gwanda? Hi ni propoganda mfu. Last kick of dying a donkey.
Asante mkuu .Ina utofauti gani na hizi?View attachment 915303View attachment 915304
Utakufa kwa kihoro.View attachment 915201
Mwanachama wa CCM anarudisha kadi ya CCM kwa CDM amevaa T-shirt ya CDM how, na pembeni jamaa kapiga gwanda? Hi ni propoganda mfu. Last kick of dying a donkey.
Wanacheza NGOMA wasioijua.Nimeshangazwa na wanachadema humu wako bize na Membe for 2020.
usishangae RPC akihamishiwa makao makuuWenye wivu wajinyonge.
asante sana mkuu .Kila la kheri CDM katika ukombozi wa Taifa hili