Sera Mbadala: Chadema yatikisa Mbeya

Ombi lako limefikishwa meza kuu na litafanyiwa kazi .
 
Huku baadhi ya wanasiasa wakileta makongamano ya ngoma za kienyeji , chadema inaleta makongamano ya sera .
 
Umetumwa
 
Naona mnabalance vitabu vya ruzuku
 
Kinacho wabeba CDM ni kimoja tu, viongozi wake wengi wana high IQ. Bado sijajua ni mchakato gani wanapitia kuwapata, natamani sana kama taifa tungewaiga. Kwenye jambo jema la ubunifu tuweke itikadi pembeni.
 
Kuna tetesi kwamba Membe ameanza mazoezi makali sana , eti ni kweli ?
Sina taarifa zozote mkuu;

Ninachokifahamu Membe bado ni mwana CCM.

Vipi huko , jamaa kakubali kuondoa kipengele kisichokua na ukomo kwa nafasi ya uwenyekiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…