Sera kandamizi wasichana wanaosoma shule za serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera kandamizi wasichana wanaosoma shule za serikali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tyadcodar, Feb 9, 2012.

 1. t

  tyadcodar Senior Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sheria ya mwaka 1978 iliyotumiwa na waziri wa vijana na michezo mh. E nchimbi kuwakandamiza waschana wanao pata uja uzito wasiendelee na masomo inawalenga wanafunzi wanasoma shule za serikali.je wanaosoma shule za binafsi mbona wao huendelea na masomo kawaida.atoe takwimu kwa wale waliorudi baada ya kujifungua wameambukiza wangapi kupata uja uzito?
   
Loading...