Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Itakuwa safi sana maana gharama zimekuwa ni nyingi sana kila kitu unalipia mwisho wa siku tutaambiwa hata kutembea tulipie hatua [emoji16] [emoji16]Kupitia kituo chétu bóra TBC, Mkurugenzi mkuu ametangaza kuwa Wenye ving'amuzi vya Startimes, Ting, Continental na Digitek watarusha Chennels za ndani kwa idadi ya 20 + bureeeee bila kulipia.
Hakikisha una TV, King'muzi A.K.A kisimbusi na uwe na LUKU ya kutosha.
Bado siku 8. Lets Count Down.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nlikuwa cjapaona hapo. . Thats good ndio Tanzania tunayoitaka