Sept 22, New series primere. GOTHAM, stay tuned

Sept 22, New series primere. GOTHAM, stay tuned

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
vlcsnap-2014-09-13-17h38m18s10.png

vlcsnap-2014-09-13-17h38m26s119.png
 
Kwa mara nyingine FOX wanadhihirisha ubabe wao kwenye hii medani.

C.C Hong25
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naomba jinsi ya kupata series zake.
 
Kickass torrent au extra torrent google then page ziki funguka search series yoyote unayo taka.
 
D
Mkuu naomba jinsi ya kupata series zake.
Download setup ya u torrent,run setup,thentumia search engine ya torrents..type kickass.to(search).Kama unatumia browser mfano google chrome itakupeleka katika page ya kick ass moja kwa moja.KWA SASA ITAKUPA OPTIONS KAMA,GAMES,TV(Hapa utapata series),MOVIES NA APPLICATIONS. Itakuwa rahisi sana kupata series bila kuhangaika,hasa za kijanja.UKIWA HAPO WAWEZA TAFUTA SERIES NYINGI ILA ITATEGEMEA.Maelezo zaidi,waweza nichek
 
Back
Top Bottom