Aksante sana kaka yangu kwa kuniweka sawa. Na hapa nadhani ndipo nilipokuwa nachanganya mie. So hiyo miaka 2 ni kuwa inatoa go ahead ya kuvunja ndoa na si kwamba ndoa ishavunjika si ndio?
Naombeni msaada wa mwanasheria aisee!
naona kuwa na watoto kigezo kingine cha kuvumilia shida za ndoa,
kustick kwenye quiz yako bila kukuuliza maswali ni unafiki, hivi unaweza kusema kama Irene Uwoya kuwa hukuwahi kumpenda huyo mumeo? My advise usikilize moyo wako bana, sisi wengine wapitaji tu humu wala viatu vyako havitubani sie
Hapo itabidi nianze kuku-charge fee kabisa. lol. Ushahidi ambao unaweza kuutoa mahakamani kuwa ndoa imevunjika kwa ulivyoonishwa kwenye Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971
- adultery committed by the respondent, particularly when more than one act of adultery has been committed or when adulterous association is continued despite protest [ina maana act moja haitoshi?].
- sexual perversion on the part of the respondent;
- cruelty, whether mental or physical, inflicted by the respondent on the petitioner or on the children, if any, of the marriage;
- wilful neglect on the part of the respondent;
- desertion of the petitioner by the respondent for at least three years, where the court is satisfied that it is wilful;
- voluntary separation or separation by decree of the court, where it has continued for at least three years;
- imprisonment of the respondent for life or for a term of not less than five years, regard being had both to the length of the sentence and to the nature of the offence for which it was imposed;
- mental illness of the respondent, where at least two doctors, one of whom is qualified or experienced in psychiatry, have certified that they entertain no hope of cure or recovery;
- change of religion by the respondent, where both parties followed the same faith at the time of the marriage and where according to the laws of that, faith a change of religion dissolves or is a ground for the dissolution of marriage.

Kwani mmeshatenganishwa kisheria?
Now you are talking, hakuna mwanamke atakayeacha ndoa yake hivi hivi, number moja mbili na tatu yote yanahusika, nimeshaokoka majaribio kadhaa ya kutolewa roho.
nilireport polisi kwamba nimeamua kuondoka na siko nae, nilifanya hivyo coz kulikuwa na kesi zetu hapo kituoni, walikuwa wanajua matukio maana ilifikia wakati kila nikila kipondo nashtaki ila sikuwa nataka kuendelea na kesi coz angefungwa. nilipoona haogopi hiyo pia ndio nikachomoka fastaaa, juzi baada ya kutengana kanikuta njiani kataka kunianzishia kibano kingine nikaokolewa akimaliza tu drama ndio anakumbuka kunitext bado ananipenda.
Dada Ndeonasiae, binafs napata maswali mengi,alafu unapo leta hoja usiwe na jazba kisa watu wanakushauri kinyume na utakavyo
Nikija kwenye hoja yako,ningependa kujua tatizo la mgogoro kwanza ila kwakua hukutaka kuzungumzia mgogoro bali mapenzi mapy bas ngoja nizungumzie mapenzi mapya tu.
unaonekana hayo mapenzi mapya yamekunogea,yalikua ya siri sasa unataka kuhalalisha kifup yamekua matamu kuliko ya mzazi mwenzako.kaa ukijua ni lazima upate taraka kwanza then ndo uingie kwenye mahusiano mengne lakin pia ufahamu mahakama sinasita sana kutenganisha ndoa na sijui kwa nini,yaani kama mmoja hataki na hata kama anamakosa akayakubali na kuomba radh,mahakama itamjar na hairuhusu taraka.kama wewe ndio unarazimisha hvyo nakushaur ujipange sana.
Na hiyo ya kumtishia kushtaki kisha wafuta kesi ndio inayotuponza wengi, bwana ukiamua kufikisha kesi police bora umalizie kabisa, alale ndani siku moja na RB umchukulie lah sivyo kula kipondo, lia kimya kimya ndani, endelea kuishi naye.
Pole dada ila dah, sasa kama amekukosa kosa ukiwa wa kwake, na bado hataki kukuachia, je akikukuta na mwingine haitakuwa hatari?
Nway, wewe ni mtu mzima unajua ukifanyacho, play it safely kwa sababu kama ilivyowekwa hapo juu, mumeo bado anayo haki ya kudai wewe ni mkewe as hamjaachana rasmi so kama unataka salama yako bora ukamilishe hayokabla hujaanzatoka hadharani na Romeo wako.
Alishalala, sema niliyokuwa sitaki ni mahakamani, kwanza muda wangu pili ni baba wa watoto akifungwa mwaka nisingejisikia vizuri japo alinipiga. so nakuwa naenda kuomba wamuachie.
Dada piga moyo konde urudiane na mumeo, hali ya street ni mbaya sana. Watakuja na mbwembwe nyingi za kukupenda na kukuhudumia; mind you they will never be him. Ila ukitaka upate experience na exposure kwenye stress, welcome to the world!
Samahani naomba nikuulize tu...... ulimpenda huyu mumeo kwa dhati? Ni kwa muda gani umeishi naye katika hali ya mateso?
Bado sijaingia kwenye mahusiano ila nafikiria it can happen "you know!"
Angalia post zangu za nyuma, pole lakini.
@Kbd, mimi bado cjajibiwa...mtu unapoahidi kuishi na mwenzio kwenye shida na raha ni shida zipi ndo humaanishwa? Naogopa nisijekushauri nikawa acomplise ulizingatia imeandikwa 'Alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe'.
Pili, sasa kama umemsamehe na kusahahu ni kwanini asiwe mumeo bado?
Je kisheria inakatazwa endapo mmetengana, wapi mwanasheria . Pili wapi nitapata mwanasheria anisaidie kushuhulikia divorce mwenye gharama nafuu maana nimeulizia gharama kwa mwanasheria fulani private yani ni hela ya kiwanja nikabaki mdomo wazi!
.................Ahaaa sasa nakuelewa mpendwa.
Kusema ukweli ni ngumu kusema kuwa haitotokea but kwa aliyeumizwa hisia, zikaumia haswaa, nachelea kusema kuwa inaweza kumchukua miaka kadhaa kabla hajajaribu kuingiza tena mguu wake kwenye maji, hata kuyajaribu. Si unaelewa mpenzi, ukishang'atwa na nyoka..................