Kwa kuwa umetumia neno 'wadogo' likiwa na maana ni zaidi ya mmoja basi sahihi kutumia hapa ni 'zangu' Zangu ni wingi wa wangu linapokuja suala la upatanisho wa kisarufi. Mfano unaweza kusema mchumba/mwalimu/mke/ wangu (ikiwa ni mmoja) na wachumba zangu (ikiwa ni zaidi ya mmoja).