Licha ya Klabu ya Soka ya Yanga kufungwa katika kilele cha Siku ya Mwananchi na klabu ya Vipers SC lakini ujumbe wao kuhusu Zoezi la Sensa na Makazi umekuwa ni ubunifu mzuri na wa kuigwa.
Licha ya Klabu ya Soka ya Yanga kufungwa katika kilele cha Siku ya Mwananchi na klabu ya Vipers SC lakini ujumbe wao kuhusu Zoezi la Sensa na Makazi umekuwa ni ubunifu mzuri na wa kuigwa. View attachment 2316612View attachment 2316613
In Tanzania everything is politics....including sports. Upuuzi mtupu.
Mbona wana mashaka na sensa wakati ni jambo LA kawaida? Wana mashaka gani hadi kampeni kila kona?