john mapinduzi
Member
- Feb 25, 2009
- 99
- 17
Wako Kila kona ya dunia tafuta njia ya kutoka kaka
Mimi nadhani mngeanza na sensa ya pikipiki za kichina, mabasi, baiskeli, barabara, reli, viwanja vya mpira vya kichina, n.k., acheni ubaguzi.
Kwanini tuwasakame wachina tu? Wapo pia wakenya, wayuganda, wakongo, wanageria, waarabu, wahindi...nao wanafanya kazi hizohizo wanazoweza fanya watanzania
Jambo la maana sana! Mimi hata sielewi faida hasa za hawa watu! Kwanza wako kivyao vyao, ajira wanajiajiri wenyewe, akiwekwa mTZ mshahara hauzidi elfu 90.
Kodi wanakwepa! Hivi wanatusaidia nini hawa watu wakiongezeka hapa nchini. Jana nilikua napata dinner pale Palm Beach nikaona hadi kinyozi yupo pale.
hapa arusha yuko mmoja maeneo ya stand kuu ya mabas ya dar,mwanza mbeya anachoma mahind na mahogo na wadogo zake mmoja yuko gereji kisongo na mwingine anatengeneza jift pale bomang'ombe bila kumsahau rafiki yangu kipenz 'TAN HU KAA'mtaiwani anayeuza matunda pale mtowambu barabara ya lake manyara na karatu pia pale nzega kwa kigwa yupo mmoja anafundisha nusary school ya kanisa moja maarufu nchini ila kali kuliko kuna mmoja niliwahi kumwona na kapu la karanga kule morogoro hi ndo tz shamba la bibi bhanaa
Pale Mabatini wapo wanachoma chips