Sensa na Radio call ya police!!

Codon

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
628
93
Du,jamaa kajidai ooh mimi hapa siesabiwi!Mara karani katoa radio call nakuanza kutaja namba yanyumba eneo alipo huku anajibiwa dakita tatu tutakuwa hapo!!!Akajibu oohoo,yamekuwa hayo?Aya tokeni jamani muhesabiwe tokeni haraka karani anatusubiri...........!!
 
Hahahaha

police is Agent of social control

Back
Top Bottom