Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Kama ni kuoa, wanawake bado ni wachache ukizingatia ukweli kuwa mwanamke akishafika miaka 40 uzazi unakuwa shida na 45 wengi unakoma kabisa (kama hajaolewa ndiyo basi tena) tofauti na wanaume ambao hata above 60 anaoa na anazalisha.

Wanaodai wanawake wanaringa kwa wingi wao wanapaswa waseme wanawake wanaoweza kuolewa na kuzaa 18-40 years ni wangapi na wanaume wanaoweza kuoa na kuzalisha 18-60 ni wangapi. Hapo ndipo kila kundi litamringia vizuri mwenzake.
 
Yeah!! Lakini katika wanawake hao millioni 31 naweza kukwambia millioni 9 ni chini ya miaka 18, milioni 2 wenye magonjwa makubwa(hawawezi date), milioni 6 wameolewa, laki tano ni wanawake wabaya, na milioni 1.5 ni majike dume.
Kwa hiyo wanawake milioni 18 ndio wapo okay okay na pisi zenye kuleta mvuto na kugombewa, je, wanaume milioni 30 tutatosha!!?? Me nahisi wanawake watatuonea sana kwenye mbususu
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” ndugu muandishi sasa nishaanza kupata picha ss kwann wanaringa
 
Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA, kwa sababu wao ni wengi kushinda WANAUME
Mkuu labda kama una tatizo nao ila mbona wapo kawaida tu hadi na maombi wanaenda ili watupate wanaume. Jichanganye nao mkuu alafu usiwawaze sana watakusumbua akili.
 
Bora wewe umeelewa hiyo idadi kimahesabu ni kama iko sawa maana wengi hawaelewi
 
hawawezi kukuonea maana wanahitaji banana. tatizo ni wanaume wenyewe kujifanya tunatafuta pesa mpaka tunasahau wajibu wetu wa kuzitafuna hizo mbususuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...na unajua mwanaume si malaya maana by nature is a polygamist. Kila siku yuko hot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…