Sensa: CCM itavuna mbegu ya udini iliyopandikiza katika Taifa, it's pay back time!

kaka na wewe acha kudanganyika kizembe na propaganda za wana magamba. mawaidha yetu sisi huwa live kwenye microphone, ivi kuna siku hata moja umesha sikia waislam wakidai hayo yaliyoandika na huyo mzembe dai namba 4 hadi 7. uwe unatafakari kwanza.

Kwani dai la Sensa lilikuwapo hapo zamani? Tutayadai hayo yote pindi muda utakapowadia na Maswahiba wetu CCM watatusaidia
 
Nasikitika sana kwa kusema kuwa nguvu huwa haiwezi pambana na haki. CCM na vibaraka wote wanaiingiza nchi kwenye hasara ambayo haikuwa na ulazima. sensa wamesha jua kuwa waislam hawatoshiriki sensa, sasa wanausalama wa magamba wanaudanganya umma kuwa wanaokataa sensa ni wachache!!! si kweli. wajiulize ivi taasisi za kiislam ni ngapi? na je inayotangaza kushiriki sensa ni ipi nyingine zaidi ya bakwata? bakwata haina watu tena baada ya kuonekana na ofisi ya serikali na si ofisi ya waislam. Inasikitisha sana pia kwa media zote kwa kulikalia kimya hili, ni juzi juzi tu mlikuwa mnaandikia kuwa hii serikali ni dhaifu sasa ule udhaifu umeishia wapi mbona mmekuwa kimya? vyombo vya habari vinahitaji ukombozi, bado mko utumwani. sensa imesha feli kwani wasioshiriki ni wengi wengi wengi wengi saaaaaaaaaaaaaaaana. hao bakwata wenyewe waliowengi hawahesabiwi kwani hoja ziko wazi. jamani tunakosea kutoweka mambo vile inavyotakiwa. kwa rekodi za serikali sensa ya mwisho kufanyika ni 2002, na kama ni kweli kuwa sensa ni kwa ajili ya maendeleo, hebu niambieni after sensa ya 2002 ni maendeleo gani tunajivunia yaliyotokana na sensa ile?
 
Asubuhi ya leo ktk uzi mmoja wa mwana ccm nimemwambiwa kuwa upumbavu wa ubaguzi wa kidini, kikabila na kikanda wanaoutangaza malipo yao yapo hapahapa, mfano ni huu unaoeleza hapa mleta mada......ngoja wavune walicho, na wanachoendelea kupanda!
 
Walio dai uhuru sasa wamechoka, wameona mnaleta uhuni. Sasa subirini mtatukoma.
 
Kwani dai la Sensa lilikuwapo hapo zamani? Tutayadai hayo yote pindi muda utakapowadia na Maswahiba wetu CCM watatusaidia

hiyo kazi unayoifanya ndiyo sawa na ya ccm, kwani wametumia pesa nyingi sana kusimamia zoezi ambalo mazingira tayari yanaonesha litafeli. wewe una wazungumzia waislam who are you? wewe malengo yako ilikuwa ni kuandika hiyo namba 4 hadi 7. acha unafiki hayo siyo madai ya waislam.
 
Ukitaka cha mtu sharti uliwe, Sasa ni zamu ya kuitafuna CCM. Mmeshatutumia vyakutosha tunadai nchi yetu na haki yetu kama Waislam. Tutaanza na la Sensa na tutayatimiza yote tunayotaka, rafiki wetu wakaribu tunae kama CCM.

1.Tunaanza na Sensa, ilikujua idadi yetu sisi Waislam na tukimaliza tunakuja na haya hapa
2. Kuirudisha mahakama ya Kadhi
3.Kujiunga na OIC
4. Kuitangaza Tanzania nchi ya Kiislam asiyetaka ahame, liwalo na liwe
5. Sharia Law
6. Wanawake kuvaa Hijabu, hutaki hama nchi
7. Kuwafukuza Wakiristu
8. Kurekebisha mfumo wa Elimu

Na mambo mengine yatafuatia taratibu, CCM tupeni Uhuru wetu, tumeshakusaidie sana na mmetutumia sana

wewe ni msemaji wa waislam?
Kuwa makini ndugu, hakuna kitu kama hicho, hata mafundisho ya uislam hayasemi hivyo.
 
Ukitaka cha mtu sharti uliwe, Sasa ni zamu ya kuitafuna CCM. Mmeshatutumia vyakutosha tunadai nchi yetu na haki yetu kama Waislam. Tutaanza na la Sensa na tutayatimiza yote tunayotaka, rafiki wetu wakaribu tunae kama CCM.

1.Tunaanza na Sensa, ilikujua idadi yetu sisi Waislam na tukimaliza tunakuja na haya hapa
2. Kuirudisha mahakama ya Kadhi
3.Kujiunga na OIC
4. Kuitangaza Tanzania nchi ya Kiislam asiyetaka ahame, liwalo na liwe
5. Sharia Law
6. Wanawake kuvaa Hijabu, hutaki hama nchi
7. Kuwafukuza Wakiristu
8. Kurekebisha mfumo wa Elimu

Na mambo mengine yatafuatia taratibu, CCM tupeni Uhuru wetu, tumeshakusaidie sana na mmetutumia sana

utakuwa unaongozwa na jini gani sijui
 
Mashekhe wetu wameshasema hakuna kuhesabiwa sisi waislamu, mpaka kipengele cha dini kiwepo, kama hakipo hatukubali kuhesabiwa. Hayo Madai unayoyakataa yapo kwenye agenda yetu sisi Waislam, hutaki hama nchi. Tunadai Mahakama yetu ya Kadhi pamoja na kujiunga na OIC na Sharia Law.

acha kutupaka matope, hilo dai la sharia law umelitoa wapi?
Usitutaftia ban za lazima.
Jiheshim utaheshimiwa.
Usiseme mambo usiyo yajua, unaropoka kwa manufaa ya nani?
 
Hapa umenena Matola!

Ujanja mwingi mbele giza, jana kwa masikio yangu nimemsikia John Guninita wakati anachukuwa fomu ya kutetea kiti chake cha Uenyekiti wa CCM Dar, aliwaambia wanaCCM wenzake kwamba waandae vijana mahili wa kuweza kujibu mapigo ya wapinzani kwenye mitandao na kuwaandaa makada wa kupanda majukwaani wakati wa kampeni badala ya kuendelea kuwanunuwa wapinzani ili waje kuwabomoa wapinzani wenzao.

Sina haja ya kufafanuwa lolote hapa, nadhani wote kiswahili mnaelewa na mnajuwa Guninita alikuwa anasema nini na huwa wanafanyanya nini.

Ccm ni kujiandaa kuiondowa kwa nguvu, hiki ni chama cha kigaidi msitegemee kabisa CCM kuja kukabidhi madaraka 2015, huu ndio ukweli, hawa wang'olewe hata kwa Military option.
 
Kwani dai la Sensa lilikuwapo hapo zamani? Tutayadai hayo yote pindi muda utakapowadia na Maswahiba wetu CCM watatusaidia

acha upotoshaji wako wewe, unaropokwa tu.
Nani kakutuma?
Mwambie kashashindwa manake hatudanganyiki na porojo zenu.
We na waliokutuma ni tatizo kwa nchi hii.
 
Na hii laana itaitafuna CCm mpaka mwisho! Lakini tujiulize mbona hawamu zingine haya mambo haya kuwepo? Haya ni matunda ya ujinga, sasa leo wanalilia!

Matola umetoa facts za kutosha bila shaka naunga mkono!

Udini ni dhambi yenye madhara makubwa sana, na bado itawatafuna sana!
 
Ukitaka cha mtu sharti uliwe, Sasa ni zamu ya kuitafuna CCM. Mmeshatutumia vyakutosha tunadai nchi yetu na haki yetu kama Waislam. Tutaanza na la Sensa na tutayatimiza yote tunayotaka, rafiki wetu wakaribu tunae kama CCM.

1.Tunaanza na Sensa, ilikujua idadi yetu sisi Waislam na tukimaliza tunakuja na haya hapa
2. Kuirudisha mahakama ya Kadhi
3.Kujiunga na OIC
4. Kuitangaza Tanzania nchi ya Kiislam asiyetaka ahame, liwalo na liwe
5. Sharia Law
6. Wanawake kuvaa Hijabu, hutaki hama nchi
7. Kuwafukuza Wakiristu
8. Kurekebisha mfumo wa Elimu

Na mambo mengine yatafuatia taratibu, CCM tupeni Uhuru wetu, tumeshakusaidie sana na mmetutumia sana

Ha ha ha haaaaaa! CCM inatugombanisha sasa mimi ndugu zangu ni waislam na mimi mkristo tunawezaje kutengana? CCM tuilipe fadhila kwa kuunganisha nguvu zetu kwa ummoja wetu kama siku zote bila kujadi dini zetu tuiondoe madarakani!
 
Kuna maana gani kutumia mabilioni ya shilling halafu baadaye tuambiwe zoezi la sensa limeharibika? Mungu hamfichi mnafki, CCM imewatumia sana Waislamu sasa ni Pay back time.
Hafadhali hata ya Mkapa alikumbuka kuwapooza na majengo ya Umma ambayo ndio chuo kikuu cha Kiislamu Mororgoro.
 
Ujanja mwingi mbele giza, jana kwa masikio yangu nimemsikia John Guninita wakati anachukuwa fomu ya kutetea kiti chake cha Uenyekiti wa CCM Dar, aliwaambia wanaCCM wenzake kwamba waandae vijana mahili wa kuweza kujibu mapigo ya wapinzani kwenye mitandao na kuwaandaa makada wa kupanda majukwaani wakati wa kampeni badala ya kuendelea kuwanunuwa wapinzani ili waje kuwabomoa wapinzani wenzao.

Sina haja ya kufafanuwa lolote hapa, nadhani wote kiswahili mnaelewa na mnajuwa Guninita alikuwa anasema nini na huwa wanafanyanya nini.

Ccm ni kujiandaa kuiondowa kwa nguvu, hiki ni chama cha kigaidi msitegemee kabisa CCM kuja kukabidhi madaraka 2015, huu ndio ukweli, hawa wang'olewe hata kwa Military option.

Umenena liwalo na liwe waondolewe tu!
 
Kibanda alisema kwamba kikwete hatasalimika kwa hili la udini maana ni silaha aliyoitengeneza kujiua bila kujua.Alipokuwa kwenye kampeni za urais 2010 waliona hiyo ndo ilikuwa silaha ya kuangamiza chadema kwa kutangaza kuwa ni chama cha kidini.Alipochakachua na kuingia madarakani kwa wizi na propaganda chafu za udini,akaja kuwaambia wanahabari kwamba watibu donda la udini ambalo yeye mwenyewe na chama chake ndo waliotengeneza.Haya kirus walikitengeneza wao ngoja kiwatafune
 
Yes its pay back time,
Matola siku zote unafki kwangu mwiko, mimi ni miongoni mwa watu tuliofurahishwa na ninaendelea kufurahishwa huku nikicheka meno yote 32 nje.

Kwanini nafurahi? ni kwa sababu kwa miaka nenda rudi CCM imeigeuza jamii ya Waislamu na hasa Bakwata kama chombo chao cha kufanikishia maslahi yao, na pale linapokuja swala la waislamu kuomba madai yao basi huishia kwenye ghiriba tu.

Twende taratibu:
Mahakama ya kadhi: Huu ni mkenge CCM waliingizwa na Augustine Mrema ambaye aliwaahidi Waislamu kama angeshinda Urais basi angerudisha Mahakama ya kadhi, nao CCM kwa sababu ni mabingwa wa kuiga bila hata ya kufikiri nao wakaingiza kwenye ilani yao swala hili na mbaya zaidi Rais ni Mwislamu lakini anashindwa kutimiza ahadi halali iliyomo ndani ya chama chake.

Igunga:
Baada ya CCM kuona maji yapo shingoni waliamuwa kununuwa Bakwata na kuendesha kampeni za kidini eti Chadema kisipigiwe kura na Waislamu kwa sababu kimedhalilisha Mwanamke wa Kiislamu anayedhini na Mkristo Fatuma Kimario.

CCM kana kwamba hakielewi madhara ya Propaganda hizi chafu imekuwa ni silaha yake kusema Cuf ni chama cha Waislamu na Chadema ni Chama cha Wakristo, ila tu wao ndio hawajajitambulisha bado je ni chama cha shetani?

Kwa uchache tu niseme hili swala la Waislamu kugomea Sensa mimi nawaunga mkono kwa 100% angalau labda linaweza kuwa fundisho la kufungamanisha dini na siasa, kama CCM isingekuwa inaendesha Propaganda za kidini haya yasingekuwepo ndio maana nasema Yes is pay back time.

Tukumbuke hata kule Congo kwa kuendekeza ujinga kama huu kanisa Katoliki nalo lilikuwa na waangalizi wake kwenye ule uchaguzi na mpaka leo Kanisa katoliki Congo halimtambui Joseph Kabila kama Rais halali, na kanisa linayo matokeo yake ya ule uchaguzi. huu ndio uppuzi ambao CCM wanataka kutufikisha.
Tujadili.
mie kila mara huwa nasema,adui mkubwa wa watanzani si umaskin wala ujinga wala din ila ni ccm.and siku tukapomuua huyu adui,tanzania yetu utakuwa tulivu!!!!!
 
mie kila mara huwa nasema,adui mkubwa wa watanzani si umaskin wala ujinga wala din ila ni ccm.and siku tukapomuua huyu adui,tanzania yetu utakuwa tulivu!!!!!
Tulicholaaniwa Jeshi letu lenyewe ndio hilo la kina Shimbo, wanaongoza kwa ufisadi kuliko hata Wanasiasa. Jeshi la namna hii kamwe haliwezi kusimama upande wa Wananchi.

Maana liwalo na liwe mwaka 2015 kama CCM itakataa kukabidhi madaraka tutaiondowa kwa nguvu na Jeshi kama litatusaliti liwalo na liwe hata Banyamurenge watakuja kutusaidia.
 
kaka na wewe acha kudanganyika kizembe na propaganda za wana magamba. mawaidha yetu sisi huwa live kwenye microphone, ivi kuna siku hata moja umesha sikia waislam wakidai hayo yaliyoandika na huyo mzembe dai namba 4 hadi 7. uwe unatafakari kwanza.

Nimekusoma. Inawezekana sikujipa muda mzuri wa kutafakari na kujibu kwa haraka haraka.
 
Back
Top Bottom