Sensa: CCM itavuna mbegu ya udini iliyopandikiza katika Taifa, it's pay back time! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa: CCM itavuna mbegu ya udini iliyopandikiza katika Taifa, it's pay back time!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matola, Aug 24, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Yes its pay back time,

  Matola siku zote unafiki kwangu mwiko, mimi ni miongoni mwa watu tuliofurahishwa na ninaendelea kufurahishwa huku nikicheka meno yote 32 nje.

  Kwanini nafurahi? Ni kwa sababu kwa miaka nenda rudi CCM imeigeuza jamii ya Waislamu na hasa BAKWATA kama chombo chao cha kufanikishia maslahi yao, na pale linapokuja swala la waislamu kuomba madai yao basi huishia kwenye ghiriba tu.

  Twende taratibu:
  Mahakama ya kadhi: Huu ni mkenge CCM waliingizwa na Augustine Mrema ambaye aliwaahidi Waislamu kama angeshinda Urais basi angerudisha Mahakama ya kadhi, nao CCM kwa sababu ni mabingwa wa kuiga bila hata ya kufikiri nao wakaingiza kwenye ilani yao swala hili na mbaya zaidi Rais ni Mwislamu lakini anashindwa kutimiza ahadi halali iliyomo ndani ya chama chake.

  Igunga:
  Baada ya CCM kuona maji yapo shingoni waliamuwa kununuwa Bakwata na kuendesha kampeni za kidini eti Chadema kisipigiwe kura na Waislamu kwa sababu kimedhalilisha Mwanamke wa Kiislamu anayedhini na Mkristo Fatuma Kimario.

  CCM kana kwamba hakielewi madhara ya Propaganda hizi chafu imekuwa ni silaha yake kusema Cuf ni chama cha Waislamu na Chadema ni Chama cha Wakristo, ila tu wao ndio hawajajitambulisha bado je ni chama cha shetani?

  Kwa uchache tu niseme hili swala la Waislamu kugomea Sensa mimi nawaunga mkono kwa 100% angalau labda linaweza kuwa fundisho la kufungamanisha dini na siasa, kama CCM isingekuwa inaendesha Propaganda za kidini haya yasingekuwepo ndio maana nasema Yes is pay back time.

  Tukumbuke hata kule Congo kwa kuendekeza ujinga kama huu kanisa Katoliki nalo lilikuwa na waangalizi wake kwenye ule uchaguzi na mpaka leo Kanisa katoliki Congo halimtambui Joseph Kabila kama Rais halali, na kanisa linayo matokeo yake ya ule uchaguzi. huu ndio uppuzi ambao CCM wanataka kutufikisha.
  Tujadili.

   
 2. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,767
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  I agree with you! si unajua what comes around goes around!
   
 3. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Kuna ukweli ktk andiko lako. Udini, ukabila, ukanda, ubaguzi wa kijinsia na yenye kufanana na hayo ni matunda ya kazi ya CCM. Kama wakati wa mavuno umewadia ngoja tuone.
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu Matola nakuunga mkono kwa zaidi ya 100%, ngoja CCM wavune machungu ya udini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Mahakama ya haki kabisa humu duniani ni mahakama ya "own conscious" na inatumia sheria ya "karma" ambayo malipo yake ni humu humu duniani!. By Pasco
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ukitaka cha mtu sharti uliwe, Sasa ni zamu ya kuitafuna CCM. Mmeshatutumia vyakutosha tunadai nchi yetu na haki yetu kama Waislam. Tutaanza na la Sensa na tutayatimiza yote tunayotaka, rafiki wetu wakaribu tunae kama CCM.

  1.Tunaanza na Sensa, ilikujua idadi yetu sisi Waislam na tukimaliza tunakuja na haya hapa
  2. Kuirudisha mahakama ya Kadhi
  3.Kujiunga na OIC
  4. Kuitangaza Tanzania nchi ya Kiislam asiyetaka ahame, liwalo na liwe
  5. Sharia Law
  6. Wanawake kuvaa Hijabu, hutaki hama nchi
  7. Kuwafukuza Wakiristu
  8. Kurekebisha mfumo wa Elimu

  Na mambo mengine yatafuatia taratibu, CCM tupeni Uhuru wetu, tumeshakusaidie sana na mmetutumia sana


   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna wimbo unaimbwa " utavunaaaa ulichopandaaa,utavunaaa" bahati yao sijui nota ningeweka apa
   
 8. Tigga Mumba

  Tigga Mumba JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 747
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu dini zimeletwa tu na watawala. Tanzania ni ya kwetu. Sasa mkishamaliza kutufukuza, mtafukuza waislamu wote wachaga, wasukuma, wamakonde, wahaya, wanyaturu etc etc ili mbaki waislam wa kabila lenu tu?

  Halafu bado umesahau, Shia na Sunni nao je? Aisee!
   
 9. L

  Lua JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hayo ni matunda ya dhambi kubwa inayofanywa na ccm, "kikulacho kinguoni mwako"
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Na baada ya hapo sote kama taifa tusubiri mashaibu ya kile kikundi hatari cha (2) GREENGUARD pamoja na silaha zao za kiChina zisizosajiliwa zile.

  Nao pia ule utaratibu wa kuibia taifa bila hata ya kofuli moja kuvunjwa kule benki kuu sasa nao umekua nongwa na mahela ya wavuja jasho sie kuanza kutengeneza milima kule kwenye benki za Uswisi; yuko wapi wa kuwazuia
  (3) MAFISADI kutuaibisha kma taifa kupenyeza rushwa kila mahali hadi kwenye kamati zetu bungeni???

  Hata mbegu ya
  (1) UANAMTANDAO tuliuotesha wenyewe na kulinyunyizia maji sawa na mchicha na kulimiminia mbolea sawa na MANANASI YA GHANA na hivi leo 'UANAMTANDAO' umekua mbuyu unatupasua mgongo hadi watu tunashindwa hata pa kupita ndani ya taifa hili.


   
 11. k

  kitero JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mshahara wa dhambi ni umauti.Nabado yatatokea mengi zaidi ya haya na yenye madhara makubwa kwa jamii,Kule zanzibar mpaka leo kimya hatujui linaloendelea huko.Kama kusipo chukuliwa hatua mapema na Kufungia baadhi ya magazeti na radio zinazo ripot mambo ya dini vibaya na kuwasema viongozi wetu wadini tutaona mengi sana nayenye kuleta madhara kwa jamii.Mimi mwenyewe naunga mkono waislamu ili iwe fundisho na tuweze kujifunza kwa makosa.
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,467
  Trophy Points: 280
  CCM wanavuna walichopanda kwa miaka mingi.!
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Ujanja mwingi mbele giza, jana kwa masikio yangu nimemsikia John Guninita wakati anachukuwa fomu ya kutetea kiti chake cha Uenyekiti wa CCM Dar, aliwaambia wanaCCM wenzake kwamba waandae vijana mahili wa kuweza kujibu mapigo ya wapinzani kwenye mitandao na kuwaandaa makada wa kupanda majukwaani wakati wa kampeni badala ya kuendelea kuwanunuwa wapinzani ili waje kuwabomoa wapinzani wenzao.

  Sina haja ya kufafanuwa lolote hapa, nadhani wote kiswahili mnaelewa na mnajuwa Guninita alikuwa anasema nini na huwa wanafanyanya nini.

  Ccm ni kujiandaa kuiondowa kwa nguvu, hiki ni chama cha kigaidi msitegemee kabisa CCM kuja kukabidhi madaraka 2015, huu ndio ukweli, hawa wang'olewe hata kwa Military option.
   
 15. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu mtowa mada embu ni pm nikutumie kidumu cha mbege mkuu umeona mbali sana kwa kifupi nakuunga mkono mkuu

  ngoja nipate mbege kidogo
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,655
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Baba Mwana asha kalikoroga mwenyewe sasa alinywe yeye na misukule yake, hili limemganda vizuri sana, yaani mimi raha tupu jinsi jamaa anavyojikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
   
 17. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kaka samahani sana,tunaomba uache propaganda ambazo si madai ya waislam. Please yasiyo madai ya waislam tunaomba uachane nayo kwani hayakusaidii na ujue utapata malipo kwa kuandika upuuzi humu. Ivi ni lini uliwasikia waislam wakidai dai lako namba 4,5,6,na 7. Mchungaji acha propaganda, maana hayo ndiyo yanayowagarimu ccm. na kifo cha ccm ni tar 26 kesho kutwa.
   
 18. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kaka na wewe acha kudanganyika kizembe na propaganda za wana magamba. mawaidha yetu sisi huwa live kwenye microphone, ivi kuna siku hata moja umesha sikia waislam wakidai hayo yaliyoandika na huyo mzembe dai namba 4 hadi 7. uwe unatafakari kwanza.
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Mashekhe wetu wameshasema hakuna kuhesabiwa sisi waislamu, mpaka kipengele cha dini kiwepo, kama hakipo hatukubali kuhesabiwa. Hayo Madai unayoyakataa yapo kwenye agenda yetu sisi Waislam, hutaki hama nchi. Tunadai Mahakama yetu ya Kadhi pamoja na kujiunga na OIC na Sharia Law.
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ukifuatilia historia ya HIV utajifunza mengi, moja, unaweza kufanya jambo lakini ukashindwa kukabiliana na matokeo yake. Udini ni janga lingine (kwa Tanzania).
   
Loading...