Sasa wameporwa vishikwambi wengine vimada inasubiri hewa??Saa nane na dakika 12 usiku 24 August 2022 mimi na watu wa nyumba yangu tuko kwenye mkesha na thermos yetu ya kahawa tukiwangoja makarani wa sensa tupugie nao picha tutupie kwenye uzi wa Mshana Jr
Mimi nimeshiriki sensa tatu nafikiri, lakini sensa hii ni ya ubabaishaji tu na si vinginevyo.
Sensa kama sensa ni zoezi la kuhesabu watu na linafanyika tangu enzi za Manabii, hata Yesu alizaliwa siku ya sensa wakati mama take na Yoseph wamerudi kwao kwenda kuhesabiwa...
Ni kuhalalisha mabilioni ya pesa zilizotumika na zinazoendelea kutumika.Sensa inapewa promo kichizi
Mshana, unawasubiri au unamsubiri karani [emoji7]?NawasubiriView attachment 2333064
Bilashaka hawakufanya Bure,huenda nao Kwa mbaaali wameonja kachembe la Ile keki ya taifa🏃Tarehe 23 Agosti ni siku rasmi ya kuanza zoezi la kuhesabu idadi ya Watu waliopo ndani ya mipaka ya nchi yetu. Zoezi hili limeandaliwa ...
Namuona Shemeji hapoSaa nane na dakika 12 usiku 24 August 2022 mimi na watu wa nyumba yangu tuko kwenye mkesha na thermos yetu ya kahawa tukiwangoja makarani wa sensa tupugie nao picha tutupie kwenye uzi wa Mshana Jr
Dah...[emoji39]Mshana, unawasubiri au unamsubiri karani [emoji7]?View attachment 2333085
Inastaajabisha, hoja aliyoitoa Mwl nayo ilikuwa dhaifu ni kama kulikuwa na hofu nyuma yake, suala la dini kwenye mipango ya maendeleo lina tijaMimi nimeshiriki sensa tatu nafikiri, lakini sensa hii ni ya ubabaishaji tu na si vinginevyo.
Sensa kama sensa ni zoezi la kuhesabu watu na linafanyika tangu enzi za Manabii, hata Yesu alizaliwa siku ya sensa wakati mama take na Yoseph wamerudi kwao kwenda kuhesabiwa...