Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 64
mbona unatoka povu mkuu, kwani nani kataja chama kisicho cha upinzani? je kama ni wapenzi wa CUF? Ina maana CUF si upinzani? Au ni chama "kile" tu ndicho cha upinzani?kwani wao waikiwa wenngi ndio sababu..mbona kigoma wapo kibao halafu upinzani kama kawaida..
Hapo penye rangi tu yaonesha wewe huna data. Kafanye utafiti kisha rudi ubishane. DO YOUR HOME WORKUnapaswa kuwa mkweli,sidhani kama takwimu za sensa za 2002 zilikuwa zinaonyesha idadi ya watu kwa pamoja na dini zao. Ninachofahamu ilikuwa zinaonyesha idadi ya watu pamoja na jinsia mf: wanawake na wanaume au watoto na watu wazima.
Mbona mkitoa matusi huoni kama JF inakosa heshima? Takwimu zimewekwa wewe unasema kukosa heshima?? hoja ya namna gani hiii?Toa upuuzi hapa.Mods tafadhali ondoeni hii mada.Jamiiforums itakosa heshima sasa
Wewe wasema mkuu:smiling:Kwahiyo unataka kusema kuwa Magwanda hawana chao hapo?
Tupe link ya source yako kwa sababu hata zanzibar haiko hivyo.
mbona unatoka povu mkuu, kwani nani kataja chama kisicho cha upinzani? je kama ni wapenzi wa CUF? Ina maana CUF si upinzani? Au ni chama "kile" tu ndicho cha upinzani?
Kwahiyo unataka kusema kuwa Magwanda hawana chao hapo?
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.

Naona umegeuza jina!
Hii I'd imetulia!