computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 507
- 543
Mkuu maelezo uliyotoa yameninufaisha na Mimi asante sana. Nikupe pole kwa proposal yako maana ni ngumu sana nabii kukubalika kwaoMkuu unasema ni newbie ila kwenye signature yako umetoa namba ya simu watu wakucontact kuhusu software development, kama unajua programming angalau mwaka moja hizo systems ilitakiwa uwe angalau na idea zinavyofanya kazi.
In simple terms kabisa, system zote hizo zinakua na server, Vodacom wanachofanya ni kuset tu SSID fulani mfano hiyo *150*33 ukibonyeza inaomba data kutoka kwenye server zao, wanachofanya ni kukutumia hizo data tu, sema in this case wanatumia normal GSM (2G) networks, transmission ya data ni sawa na internet ya kawaida tu.
Ukitaka kudeal na GSM ufanye practice kidogo, nunua GSM modem hata AliExpress zipo hadi $15, connect kwenye computer yako, jifunze language kama python, JavaScript(node.js) au C, utengeneze webserver, fikiria unataka kufanya nini then anza kutengeneza, unaweza anza na apps ndogo ndogo mfano a simple news reporting service ambayo inakutumia habari mpya kwa kutumia sms, mtu akitaka kuregister na service yako labda anatuma message yenye ujumbe fulani kwenda kwenye namba yako ambayo line yake ipo kwenye hiyo gsm modem, unaparse ile message na kumuweka kwenye database, then kila habari mpya ikitokea unaiforward kwa subscribers wote, unaweka na option pia ya ku~unsubscribe, ukipenda unazidi kuiongezea manjonjo ili ujifunze zaidi. Unaweza ona ngumu ila ungekua na mentor mfano ungeshangaa sana ilivyo process rahisi once ukizoea.
Sema unlike softwares running through the internet, anything to do with SSIDs itabidi upate ruhusa kutoka kwenye mtandao husika, so kama unataka namba labda *22*22 iwe assigned kwako itabidi uombe mtandao husika, watakupa details zote kama kuna API, unahitaji kufanya nini, data wanazokupa mfano mtu akituma request vitu kama phone number, au kama haihitajiki njia nyingine utakayotumia kufanya authentication, vitu kama hivyo.
Na kuhusu mobile money, hiki ni kitu kipo hata nje, tena nje its more convenient zaidi ya waafrika mnavyofikiria, so hapo Mark alikua anapasha tu macho, kaja anajipendekeza kidogo na kuwapa moyo mnazidi kumpenda ila ni njia ya kutafuta wateja na kupenetrate kuingia kwenye market zetu hizi za Africa, ndiyo M-Pesa and the likes zimerahisisha sana maisha lakini bado hazifikii systems za nje hata kidogo, unlike bongo hadi utafute agent akujazie pesa kama hutumii banks huku unatoka nje ya mlango wako kuna atm karibu unaenda unatuma pesa kwenye mobile phone, internet, au popote pale unapotaka, hatuhitaji kutumia GSM wakati fast internet is all over ambapo kuna GSM na ni affordable, banking ni rahisi sana hata nje ya nyumba huitaji kutoka kama kila kitu unakifanyia hewani, mshahara unaingia kwenye account tayari una notification kwenye simu, mtu anakudai anakupa account namba unaforward hapohapo ulipo, unaenda dukani almost maduka yote unalipa kwa kadi, au unagusisha hata saa yako au simu hela inatoka kwenye bank moja kwa moja, wanaotumia cash wachache sana. Yote haya Tanzania yanawezekana sana tu hata kwa current situation sema ma~bank yetu yanapenda kuona sura zetu zimepanga foleni kuweka pesa hata ATM hawataki kutuletea zinazoweka pesa kila kona, nilitoa proposal ya virtual accounts nikatupiliwa mbali sana ka vile kila.za, sina hamu ya kurudi tena.
thanks for your comment,,,hiyo signature isikuchanganyeMkuu unasema ni newbie ila kwenye signature yako umetoa namba ya simu watu wakucontact kuhusu software development, kama unajua programming angalau mwaka moja hizo systems ilitakiwa uwe angalau na idea zinavyofanya kazi.

Mkuu kama ulikua na njia si unge i excute mwenyewe tu!!! Ila kiukweli ni challenge sana hapa kwetu....acha tukomae na huyu makufuli njia itaonekana tu!!Mkuu unasema ni newbie ila kwenye signature yako umetoa namba ya simu watu wakucontact kuhusu software development, kama unajua programming angalau mwaka moja hizo systems ilitakiwa uwe angalau na idea zinavyofanya kazi.
In simple terms kabisa, system zote hizo zinakua na server, Vodacom wanachofanya ni kuset tu SSID fulani mfano hiyo *150*33 ukibonyeza inaomba data kutoka kwenye server zao, wanachofanya ni kukutumia hizo data tu, sema in this case wanatumia normal GSM (2G) networks, transmission ya data ni sawa na internet ya kawaida tu.
Ukitaka kudeal na GSM ufanye practice kidogo, nunua GSM modem hata AliExpress zipo hadi $15, connect kwenye computer yako, jifunze language kama python, JavaScript(node.js) au C, utengeneze webserver, fikiria unataka kufanya nini then anza kutengeneza, unaweza anza na apps ndogo ndogo mfano a simple news reporting service ambayo inakutumia habari mpya kwa kutumia sms, mtu akitaka kuregister na service yako labda anatuma message yenye ujumbe fulani kwenda kwenye namba yako ambayo line yake ipo kwenye hiyo gsm modem, unaparse ile message na kumuweka kwenye database, then kila habari mpya ikitokea unaiforward kwa subscribers wote, unaweka na option pia ya ku~unsubscribe, ukipenda unazidi kuiongezea manjonjo ili ujifunze zaidi. Unaweza ona ngumu ila ungekua na mentor mfano ungeshangaa sana ilivyo process rahisi once ukizoea.
Sema unlike softwares running through the internet, anything to do with SSIDs itabidi upate ruhusa kutoka kwenye mtandao husika, so kama unataka namba labda *22*22 iwe assigned kwako itabidi uombe mtandao husika, watakupa details zote kama kuna API, unahitaji kufanya nini, data wanazokupa mfano mtu akituma request vitu kama phone number, au kama haihitajiki njia nyingine utakayotumia kufanya authentication, vitu kama hivyo.
Na kuhusu mobile money, hiki ni kitu kipo hata nje, tena nje its more convenient zaidi ya waafrika mnavyofikiria, so hapo Mark alikua anapasha tu macho, kaja anajipendekeza kidogo na kuwapa moyo mnazidi kumpenda ila ni njia ya kutafuta wateja na kupenetrate kuingia kwenye market zetu hizi za Africa, ndiyo M-Pesa and the likes zimerahisisha sana maisha lakini bado hazifikii systems za nje hata kidogo, unlike bongo hadi utafute agent akujazie pesa kama hutumii banks huku unatoka nje ya mlango wako kuna atm karibu unaenda unatuma pesa kwenye mobile phone, internet, au popote pale unapotaka, hatuhitaji kutumia GSM wakati fast internet is all over ambapo kuna GSM na ni affordable, banking ni rahisi sana hata nje ya nyumba huitaji kutoka kama kila kitu unakifanyia hewani, mshahara unaingia kwenye account tayari una notification kwenye simu, mtu anakudai anakupa account namba unaforward hapohapo ulipo, unaenda dukani almost maduka yote unalipa kwa kadi, au unagusisha hata saa yako au simu hela inatoka kwenye bank moja kwa moja, wanaotumia cash wachache sana. Yote haya Tanzania yanawezekana sana tu hata kwa current situation sema ma~bank yetu yanapenda kuona sura zetu zimepanga foleni kuweka pesa hata ATM hawataki kutuletea zinazoweka pesa kila kona, nilitoa proposal ya virtual accounts nikatupiliwa mbali sana ka vile kila.za, sina hamu ya kurudi tena.
Mbona unalosema hata huku sawa tu.Mkuu unasema ni newbie ila kwenye signature yako umetoa namba ya simu watu wakucontact kuhusu software development, kama unajua programming angalau mwaka moja hizo systems ilitakiwa uwe angalau na idea zinavyofanya kazi.

Mbona unalosema hata huku sawa tu.
Now almost mpesa, tigo pesa ziko intergrated na bank transactions unaweza toa pesa bank au ituma kwenda kwenye account.
Mpesa unaweza tumiwa pesa badala ya kuitolea kwa wakala ukaitolea kwenyw atm.
Unaweza hamisha ela kwenye atm kuja mpesa.
Crdb waliwahi funga atm za kuwekea ela sema sijui kwanini waliziondoa I guess ilikiwa coz ya security.Kua intergrated na bank hilo ninalifahamu, ndiyo maana nimesema wanajitahidi ila sio convenient kuliko nje labda ujaribu kunijibu haya maswali yangu hapa chini.
Unaweza kwenda kwenye ATM na ukaweka noti kuingia kwenye account?
Unaweza kwenda dukani na ukalipia kwa kutumia NFC kutoka kwenye device yoyote kama simu au smartwatch?
Watu wangapi wanatumia accounts zao kama main storage ya pesa?
Maduka mangapi unaweza kwenda kulipia kwa kadi?
ATM ziko kila kona?
Nikupe mfano, naweza kaa nje mwaka mzima nikajikuta natumia cash mara mbili au tatu, mara nyingine zote ni kadi tu na simu kila kona. Hilo kwa Tanzania unahisi lipo hivi sasa?
Nimesoma sehemu ni British invetion ila idea ilitokana na watu wakuwawanatumian mda w maongezi wauze wapate pesaCrdb waliwahi funga atm za kuwekea ela sema sijui kwanini waliziondoa I guess ilikiwa coz ya security.
hiyo ya nfc bado wajua sisi si wepesi wakuadapt..
Mfano wameanzisha huduma ya kulipa madukani kwa tigo pesa ila wenye maduka na watumiaji wamekuwa wagumu kuadapt hiyo huduma.
Pia ni watu wachache wanaojua kuwa unaweza chukua pesa atm badala ya kwa wakala.
Halafu nilisikia hii system ya m-pesa ilikuwa born in kenya. Yani ni pure african idea ndiyo maana ina work hadi kwenye feature phones coz walizingatia kuwa many africans dont own smart phones and internet is a problem.
Je ni kweli au ni rumours?
Crdb waliwahi funga atm za kuwekea ela sema sijui kwanini waliziondoa I guess ilikiwa coz ya security.
hiyo ya nfc bado wajua sisi si wepesi wakuadapt..
Mfano wameanzisha huduma ya kulipa madukani kwa tigo pesa ila wenye maduka na watumiaji wamekuwa wagumu kuadapt hiyo huduma.
Pia ni watu wachache wanaojua kuwa unaweza chukua pesa atm badala ya kwa wakala.
Halafu nilisikia hii system ya m-pesa ilikuwa born in kenya. Yani ni pure african idea ndiyo maana ina work hadi kwenye feature phones coz walizingatia kuwa many africans dont own smart phones and internet is a problem.
Je ni kweli au ni rumours?
Wajua utofauti wake na hizi nyingine, hii invention can be used by anybody with any kind of mobile phone.M-Pesa ilianzia Kenya ndiyo, kusema ni pure african idea heheh! unajua sio idea ngeni kama unavofikiri, tayari kulikua na money transaction platforms nyingi kama paypal, na zilikuwepo nyingine ambazo ni via mobile nchi nyingi kabla ya m-pesa, sioni ugumu wowote wa kufikiria kutumia ssid badala ya internet, developer yoyote anaweza fikiria kitu kama hicho maana ndiyo kazi yetu kufikiria jinsi ya kurahisisha mambo, watu wengi walikua washafikiria kitu kama hiki, mimi mojawapo zamani sana enzi hizo hata programming nilikua sijui, ni ile tu aliyetengeneza alikua tayari ana resources hizo, kawahi nafasi nadhani atakua katajirika kwa sasa.
Tanzania in general bado tuko nyuma, japo nitawapongeza maana siku hizi wanajitahidi angalau kusukuma vitu vipya, uwezo upo mkubwa tu wa kufanya mambo mengi sema support ndogo, inahitaji pesa kubwa kujaribu kuwabadilisha watu. Wanasubiri hadi kampuni itoke marekani ndiyo waipe support 100%, hata uber sa hivi kila mtu anaishobokea wakati ilikuwepo kampuni nyingine inatoa huduma hiyohiyo hakuna aliyekua na time nayo. Inferiority complex itatuua.
Pia ni watu wachache wanaojua kuwa unaweza chukua pesa atm badala ya kwa wakala.
Halafu nilisikia hii system ya m-pesa ilikuwa born in kenya. Yani ni pure african idea ndiyo maana ina work hadi kwenye feature phones coz walizingatia kuwa many africans dont own smart phones and internet is a problem.
Je ni kweli au ni rumours?
tayari kulikua na money transaction platforms nyingi kama paypal, na zilikuwepo nyingine ambazo ni via mobile nchi nyingi kabla ya m-pesa, sioni ugumu wowote wa kufikiria kutumia ssid badala ya internet, developer yoyote anaweza fikiria kitu kama hicho maana ndiyo kazi yetu kufikiria jinsi ya kurahisisha mambo,
ATMs Machine za Barclays na NBC zinapokea cashKua intergrated na bank hilo ninalifahamu, ndiyo maana nimesema wanajitahidi ila sio convenient kuliko nje labda ujaribu kunijibu haya maswali yangu hapa chini.
Unaweza kwenda kwenye ATM na ukaweka noti kuingia kwenye account?
Unaweza kwenda dukani na ukalipia kwa kutumia NFC kutoka kwenye device yoyote kama simu au smartwatch?
Watu wangapi wanatumia accounts zao kama main storage ya pesa?
Maduka mangapi unaweza kwenda kulipia kwa kadi?
ATM ziko kila kona?
Nikupe mfano, naweza kaa nje mwaka mzima nikajikuta natumia cash mara mbili au tatu, mara nyingine zote ni kadi tu na simu kila kona. Hilo kwa Tanzania unahisi lipo hivi sasa?
Habari wana wataalamu wa JF naomba kujua hizi applications zilivyotengenezwa, I need a vivid details since am newbie in the industry.
Kama kuna links zitakozonipeka kwanye tutorial itakuwa vyema,
- Mobile money (mpesa,tigo pesa,airtel money etc)..........i was suprised to hear that Mark Zurk travelled all the way from america to kenya just to learn how mobile money works!!!!!!
- Maxmalipo systems
- Tanesco luku
- Mobistock *150*33hash
- Na system zinazofanana fanana na hizo
thanks in advance.
mkuu hiyo comment yako nlikuwa naisubiria kwa hamu ahsante kwa kudadavua ....... mara nyingi ma seniour programmer wengi hapa bongo ukiwauliza mambo kama hayo wanakwambia just use google...............Swali lako ni vigumu kulijibu maana architecture yote inayotumika kutengeneza hii mifumo ipo tofauti na inategemea na kampuni husika.
Binafsi nimepiga codes hapo kwenu Tanzania kwa mojawapo wa hizo kampuni na nilijifunza mambo kadhaa ila kama programmer unakua limited na majukumu unayokabidhiwa kwenye mfumo wote. Yaani kila mtu anakua na majukumu tofauti kiasi kwamba sio rahisi kujua system yote imekaa vipi.
Cha msingi ni kupata na kuisoma communication protocol ya kampuni husika, ila uwe vizuri kwenye network programming, nakumbuka kipindi hicho kwenye masuala ya miamala ya kadi tulitumia ISO8583 soma kuihusu hapa ISO 8583 - Wikipedia, the free encyclopedia
Mengine hayo kama USSD ambayo inatumika sana huko Bongo kwa miamala, ni rahisi sana, ukipata namba kutoka kwa kampuni halafu uwe na server yako, haswa siku hizi mambo yamerahisishwa sana.
Hao wengine wanaotumia ving'amuzi kama akina maxmalipo, Tanesco luku n.k. ukiwa umepata darasa vizuri kuhusu network programming halafu umepata communication protocol ya kampuni ya king'amuzi, mengine yanakua rahisi sana. King'amuzi kinatuma taarifa kwa kutumia TCP kwenda kwa port husika, wewe unapokea raw binary data halafu unadadavua ukitumia documentation ya kampuni inayokusaidia kupata header, length, na kupiga mahesabu ya checksum, na pia mambo kama least significant bit (LSB) na mambo mengine madogo madogo na jinsi ya kukijibu king'amuzi. Inakua kazi rahisi sana ukifaulu kufanya kazi na king'amuzi kimoja, mengine yanakua laini.
Swali lako ni vigumu kulijibu maana architecture yote inayotumika kutengeneza hii mifumo ipo tofauti na inategemea na kampuni husika.