Senior member

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Jamani hivi ukitaka kuwa senior member unafanyaje?
 
A-town inatakiwa ujitahidi kuchangia mara
nyingi kwa kutuma post katika mijadala mbali
mbali, na hata pia kufungua Thread na kuendesha
huo mjadala... Ukiamua leo hii ukae hapa jamvini
kwa kujituma the whole day.... Leo hii waweza kua
senior member...

Atapita hapa member yeyote hasa Ndetichia akuambie
post ngapi sawa na status fulani mana zina idadi yake.
 
Vipi ARUSHA wazima??? ukishapata jibu ulizia ukitaka kuwa expert inakuwaje.
 

Je kuwa premium member inakuwaje?
 
Usiachie keyboard (ombea pia mtandao usiwe slow).
 
ahsante mamyy umesomeka!!
 
Je kuwa premium member inakuwaje?



Kuwa Premium Member unatoa chochote ulichonacho (pesa) kuchangia mfuko wa kuendesha JF... Jinsi ya malipo wasiliana na Invisible kwa kumtumia PM. Ni rahisi unaomba njia ambayo ni convienient kwako i.e bank, e-money (kama M-pesa) etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…