Senior Accountant needed

Senior Accountant needed

Positive

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
95
Reaction score
15
Wanabodi,

Niliahidi kuleta nafasi za kazi humu kadri zinavyotokea kwenye kampuni zetu:

Tunahitaji mhasibu mwenye sifa zifuatazo:

1. Degree in ACCOUNTING na CPA
2. Kwenye degree awe amepata GPA sio chini ya 3.8
3. Working experience yake kwenye Accounting field ISIWE chini ya miaka MINNE
4. Awe anajua kutumia vizuri Microsoft Powerpoint na EXCEL
5. Ajue ku debit na ku credit (wengi mnashangaa hili, ila wapo wengi sana hawajui ku debit au ku credit)

Kama tu una sifa hizo hapo juu, basi kwa confidence kabisa omba kazi kama ifuatavyo:

Email to: recruitment@sfgroup.co.tz
Subject: Application

Huwezi amini kuna wanaokosea hata subject. Hizi juhudi ni za kusaidia wale wanaosema kazi hupati mpaka ujuane na mtu au utoe rushwa. Sio lazima, napokea hizi emails moja kwa moja pamoja na wenzangu na ninakuwepo kuhakikisha haki inatendeka.

All the best pals, hope to meet you soon

Mhhhhhhhhhhhhhhh! Kaaaaz kwelikweli.
 
Mkuu pmoses95 umeiona hii? Nimeona umeanzisha uzi unatafuta part time job ya uhasibu.
 
Last edited by a moderator:
JF ni typical sample ya Wabongo. Ndio maana hatuendelei.

Kwa kawaida kama una shida na kazi, unaomba (kama una SIFA) mambo ya kituo wapi na kampuni ipi utayajulia kwenye interview.

Tunaepuka kuweka details nyingi maana nyie ndo walalamikaji wa kwanza kuwa kazi ni mpaka kujuana. Tunaepuka kupigiwa simu na marafiki na ndugu ili tusaidie ndugu zao.
 
Wanabodi,

Niliahidi kuleta nafasi za kazi humu kadri zinavyotokea kwenye kampuni zetu:

Tunahitaji mhasibu mwenye sifa zifuatazo:

1. Degree in ACCOUNTING na CPA
2. Kwenye degree awe amepata GPA sio chini ya 3.8
3. Working experience yake kwenye Accounting field ISIWE chini ya miaka MINNE
4. Awe anajua kutumia vizuri Microsoft Powerpoint na EXCEL
5. Ajue ku debit na ku credit (wengi mnashangaa hili, ila wapo wengi sana hawajui ku debit au ku credit)

Kama tu una sifa hizo hapo juu, basi kwa confidence kabisa omba kazi kama ifuatavyo:

Email to: recruitment@sfgroup.co.tz
Subject: Application

Huwezi amini kuna wanaokosea hata subject. Hizi juhudi ni za kusaidia wale wanaosema kazi hupati mpaka ujuane na mtu au utoe rushwa. Sio lazima, napokea hizi emails moja kwa moja pamoja na wenzangu na ninakuwepo kuhakikisha haki inatendeka.

All the best pals, hope to meet you soon

Positive

Positive napenda uendelee kubaki +ve.Jitahidi basi unapoandika post zako uwe mwanalifu,kwa njia ya kutafuta taarifa zaidi na uelewe unachokiandika.Unafahamu mtu mwenye CPA?Umewahi sikia kitu kinaitwa mitihani ya bodi?Kwenye post yako ukiweka hilo neno lenye rangi nyekundu usijethubutu kuweka sifa zenye rangi ya bluu.
Na uwawekee watu waliobaki analog kwa maana digital kama unajua kucheza na excel unatengeneza formula na once ukidebit excel ita credit and the vice versa is true.
Kwa wanaotumia packages ndo iko kidigital zaidi formula zilishawekwa inategemea tu unataka ukipost data upate result katika mfumo upi,nukta.
 
Halafu we jamaa acha majungu na fani za watu mhasibu gani hajui double entry system,tena eti awe na CPA....acha kejeli hata kawa watu wamekosa ajira sio ndo uwadhihaki,kwanza siku izi uhasibu ni digital mi nna miezi nane sasa ivi kazin sjawahi kucheza na izo nadhalia zako.kajipange tena
 
Mmmmh_kwani na wewe unayo hiyo CPA(T).
 
nikuulize we usiyejielewa na uliyekosa hoja za kuandika....inaonekana mjini umeletwa na mbio za mwenge.

ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_mimi mjini nipo longtime kitaaambo mkuu,...kiufupi ni kwamba_nimesoma mjini,nimekulia mjini,nimesotea maisha mjini...mimi ni mshamba wa kijiji mkuu....ila kwetu shamba sasa.
 
[/COLOR]

sasa unachoshangaa nini?????????? si ndo tulivozoea kule kwetu na ndo signature zetu tutakutambuaje.
 
[/COLOR]

ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_mimi mjini nipo longtime kitaaambo mkuu,...kiufupi ni kwamba_nimesoma mjini,nimekulia mjini,nimesotea maisha mjini...mimi ni mshamba wa kijiji mkuu....ila kwetu shamba sasa.

Una matatizo kichwan mwako wewe
 
Back
Top Bottom