Drama imeibuka Kisumu baada ya Senator wa Vihiga, Godfrey Osotsi, kushambuliwa vikali April 8 karibu na Java Café, alipokuwa anaripotiwa kwenda kupata chai au grooming. Mashuhuda wanasema alishambuliwa ghafla na kujeruhiwa kichwani, baadhi wakidai alipigwa na chupa ya glasi. Alikimbizwa Aga Khan Hospital Kisumu kabla ya kuhamishiwa Karen Hospital kwa matibabu ya dharura.
Sasa mjadala umegawanyika mitandaoni na kwa ground kuhusu chanzo cha tukio hilo. Viongozi kama Rigathi Gachagua na Edwin Sifuna wanadai ni shambulio la kisiasa la kutisha upinzani, wakisema huenda “goons” walitumwa. Wakati huohuo, mitandao ya kijamii imejaa tetesi za “love triangle,” zikidai huenda ni mzozo wa kimapenzi, lakini allies wa senator pamoja na kundi la Linda Mwananchi wamekataa madai hayo wakiyaita diversion tactics.
ODM wamekosoa tukio hilo wakisisitiza kuwa Kenya si nchi ya vurugu bali ya utawala wa sheria. DCI wanaendelea na uchunguzi, huku swali kubwa likibaki: je, ni siasa chafu au personal beef iliyogeuka kuwa violent? Kenyans wengi wanasema wazi: wanahitaji majibu, na wanayahitaji haraka.