Senene burger kutoka Bukoba

Hawatokuwa juicy na mnofu kama hamburger yenyewe orijino!!
 
Unakula burger farkhina? Ni mpenzi? au unaongelea senene?

Ah mwenzio naona tafran...kule kuna panya hapa kuna hawa alimradi balaa...sipendi burger...
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hayo macho ya senene yanatisha ni ngumu kwangu kupeleka hiyo kitu mdomoni

Basi utashindwa kula vingi kama unaangalia macho,we huoni utajiri wa protein kwenye senene!!!
 
Kula wadudu yataka moyo wa kimugabe,labda naweza kula kipindi cha njaa kali(starvation).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…