Sending multiple application

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
hali zenu wadau, hivi ni makosa kutuma multiple application mf. zimetangazwa nafasi za kazi zaidi ya moja afu nikatuma application katika nafasi 3 tofauti. je ni makosa???? msaada wenu tafadhali
 
Sa ikitokea wote mlia-apply mtaitwa kwa ajili ya written interview afu ndo muwe shortilisted kama ile ya UDOM, si utapasuka msamba?

kupasuka msaMBA NI lazima hasa ktk maisha ya sasa otherwize hutoweza kujamb.......... na kuhudhuria long kol kama ukiuogopa huo msamba kuchanika. pia fahamu kuwa kabla ya msamba(mwili) inaanza suruali, bukta, boxer and then....................malizia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom