Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
- Thread starter
- #41
Kabisa Mkuu jamaa wameona mbali.Hawa jamaa roman catholic huwa wana watu wenye brain wanaofikiria mambo yenye tija kwa miaka 100 mbele. Hongereni sana kwa kuliona hili.