Seminari Kuu za Kanisa Katoliki kuwa taasisi za elimu ya juu

Nimefurahishwa na maamuzi haya. Mafrateli wetu walikua wananyanyasika sana. Mtu anasoma miaka minne, baadae mitatu baada ya kumaliza kidato cha sita, baadae anafukuzwa seminari kuu kwa sababu yoyote ile!

Anarudi mtaani kuanza moja. Maana elimu yake inakua haitambuliki kwenye mitaala yetu. Wengi waliofukuzwa walikata tamaa!
Tena kama inawezekana, wakitoka huko basi wawe na sifa kabisa ya elimu ya shahada ya uzamili (Masters) au Uzamivu (PhD). Maana miaka 8 si mchezo.
Kwa mtazamo huu ipo hatari ya kanisa kukosa mapadri kwa vijana kuchangamkia fursa ya Elimu Kisha kusepa
 
Kipengele kingine kanisa la katoliki wanachotakiwa kubadilisha ni hiki cha useja, hiki litawasaidia kwanza kupata wahudumu wengi na wazuri sana, kuna waumini wengi walei ambao wapo vizuri kuliko hata mapadri walio wengi, hoi kumaanisha sio mtu alie padre tuu mwenye akili ya dini kuliko yoyote.

Pili uamuzi huu utawasaidia sana haswa nyakati tulizo nazo ambapo ndoa zinapita changamoto nyingi, na katika mtu wa kutatua changamoto hizo ni padre ambae hajui hata mwanamke yupoje .

Kama hata ingewezekana waoane wenyewe kwa wenyewe yaani mapadri na masister.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kha!kha!,Kwa Useja uliwekwa na MUNGU au Mwanadamu??.
 
Tanzania tumechelewa Kenya wezetu mtu aliyesoma huko
Nimefurahishwa na maamuzi haya. Mafrateli wetu walikua wananyanyasika sana. Mtu anasoma miaka minne, baadae mitatu baada ya kumaliza kidato cha sita, baadae anafukuzwa seminari kuu kwa sababu yoyote ile!

Anarudi mtaani kuanza moja. Maana elimu yake inakua haitambuliki kwenye mitaala yetu. Wengi waliofukuzwa walikata tamaa!
Tena kama inawezekana, wakitoka huko basi wawe na sifa kabisa ya elimu ya shahada ya uzamili (Masters) au Uzamivu (PhD). Maana miaka 8 si mchezo.
Kenya wezetu mtu aliyesoma Falsafa na Teolojia sehemu nyingi anaajiriwa na kupiga kazi.
 
Father alikuwa rafiki yangu Sana hata huyo demu Mimi ndiye nilimuunganishia kwani alikuwa best yangu .
Watu wengi walikuwa wanajua ni demu wangu Mimi ila kumbe father ndio alikuwa anakula mzigo.
Father alikuwa wale wa mashirika alikuwa na fedha Chuo nilikuwa naishi kwa raha Sana.
Huyo father alikuwa mwalimu wangu nilipokuwa o level seminarini huko.
Akaja kuongeza elimu degree ambayo nilikuwa nasoma kwa hiyo akawa Kama mshkaji vile kama tulisoma wote sekondari huko.
Ila yule father alikuwa mcheshi Sana, sasahivi yupo zake Vatican huko ni mtu mkubwa sana
Nakubali mkuu
 
Back
Top Bottom