Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,047
- 15,449
Organization against transport accidents kushirikiana na NIT hutoa seminar kuhusu mambo ya magari na usafirishaji kwa ujumla
Yes mambo yangu haya yani kama mtori tuuunasoma NIT KUMBE?? naona Avatar ya Hazchem plate ( Handling of Dangerous Goods)...Hiyo module umeielewa nini
Ni kweli. Ni UN code ya DieselHAZCHEM 1202 -Diesel hyo
Ni kweli. Ni UN code ya Diesel
Acha uswahili.Kwani me nimeandika ni kokoto.??
Acha uswahili.
Nimekusuport nimesema ni kweli ni UN code ya Diesel sasa shida iko wapi???
Hapo tutawapoteza wengi tukifikia kweny miscellaneous dangerous goods.Hahhha ahaha ahaa haina noma mana tusije anza tena Code za Oxidizing agent 5.1 sodium cyanide na mengine pa1 mkubwaa.....
Hapo tutawapoteza wengi tukifikia kweny miscellaneous dangerous goods.
Yani bongo hiv vitu havifuatiliw. Watu wanafanya mambo ili kuminimize cost but they not safety and security measures ili kuto kuleta madhara wakati wa usafirishaji.Kuna chemical flan tulisafirisha durban-zambia ni sulphur lakin naona ile ilkua sijui na nin maana code ake sikumbuk fresh ila ulinz na kingora juu escort kwa Tz suphur tia turubai funga sepa hakuna hata alama tena bongo unatia hata tan 32.
Kwani me nimeandika ni kokoto.??
Aisee, endelea kutoa somoYani bongo hiv vitu havifuatiliw. Watu wanafanya mambo ili kuminimize cost but they not safety and security measures ili kuto kuleta madhara wakati wa usafirishaji.
Sheria inasema kama una unasafirisha abnormal load height or width lazima uwe na escorters mbili moja mbele na nyingine nyuma ili kuwapa warning watumiaji wengine wa barabara. Piabinatakiwa kutoa tangazo katika gazeti ikiwa pamoja na njia utakayotumia kupita.
Hapa bongo hata tankers ya mafuta hayana placards na warning lebels. Hii ni hatari sana