Semina ya Ujasiriamali Online

Semina ya Ujasiriamali Online

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
282
Reaction score
275
Bado siku 4 tu kuanza semina na bado siku 3 kulipia kujiunga na semina..

Baaddhi ya mada tutakazopitia ni pamoja na

1. Jinsi ya kupata wazo bora la biashara
2. Jinsi ya kutengeneza mpango biashara
3.Mbinu za kushindana na washindani wenzako katika soko
4.Aina za washindani
5. Jinsi ya kuanza biashara bila ya kuwa na mtaji pesa
6. Changamoto za utandawazi na kukua kwa uchumi
7.Mbinu za kukuza uchumi wako
8.Jinsi ya kujitangaza kwa nafasi yako.
9.Mitandao ya kijamii na kipato chako
10.Branding inanafasi gani katika biashara yako n.k..

Wahi sasa mawasiliano 0684047323
semina.jpg
 
View attachment 586123
wewe ni chuma original au chakavu nijibu..!!!
 
Ktk hv vyote ww kipi umekifanya mpk sasa kama mfano kwa wateja wako??
wahenga wanasema mganga hajigangi... anafundisha watu kuwa bilioneas wakati maisha yake ni duni kabisa anahangaika na vi sh 10,000 huko whatsap.. huu mwaka lazima karanga ziuzwe..
 
mwalimu chuma wewe umewahi fanya biashara gani hadi ukawa na mafanikio makubwa ambayo yatatuvutia kutoa hela zetu utupe mafundisho??

au ndio janja janja
 
mwalimu chuma wewe umewahi fanya biashara gani hadi ukawa na mafanikio makubwa ambayo yatatuvutia kutoa hela zetu utupe mafundisho??

au ndio janja janja
hawa majamaa akili zao wanazijua wenyewe...😎😎😎
 
Hilo jina la umenifanya nimkumbuke Chid Benz.
 
Back
Top Bottom