Semina ya Ufugaji wa kuku

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
23,539
21,569
Ndugu wananchi,

Ufugaji wa kuku ni biashara kubwa ambayo imewatajirisha wafugaji na wengi wao sasa ni matajiri wa kutupwa. Kwa mtu yeyote anayetaka kutajirika kupitia ufugaji wa kuku, naomba azingatie kuhudhuria semina hii kabambe kutoka kwa kijana aliyejitwalia utajiri mkubwa kupitia ujasiriamali wa ufugaji wa kuku.

MAELEKEZO
Semina itafanyika katika mkoa wa Dar es Salaam kuanzia tarehe 9-11 Machi, 2016. Gharama za ushiriki ni Tsh 50,000/= kwa kila mshiriki. Na usajiri kwa washiriki utafanyika kupitia anuani hii hapa: plus.shuledirect.co.tz

Kwa taarifa zaidi, piga namba inayoonekana kwenye kipeperushi kilichoambatishwa na posti hii: (0752 90 41 52 au 0675 90 41 52). Wahi, nafasi ni chache. Nawatakia utajiri mwema.

CC: GAZETI , Mlachake, bukoba boy, newmzalendo, Malila, day 24, Jongwe, TAVEATT, Amenn, pmoses95, benitoc, ELIASANTE, lwigwano, maguu, pozzyfaza, mareetz, Mjasiriamali, smok3y, Bontowar, Kabaunyeri, MalafyaleP, queenblack94, Barriz, Mabs, wamatinga, Ashura9, riltz, Kupata majaliwa, Damalu, et al.
 

Attachments

  • Poultry.jpeg
    Poultry.jpeg
    126.9 KB · Views: 105
Ndugu wananchi,

Ufugaji wa kuku ni biashara kubwa ambayo imewatajirisha wafugaji na wengi wao sasa ni matajiri wa kutupwa. Kwa mtu yeyote anayetaka kutajirika kupitia ufugaji wa kuku, naomba azingatie kuhudhuria semina hii kabambe kutoka kwa kijana aliyejitwalia utajiri mkubwa kupitia ujasiriamali wa ufugaji wa kuku. Kwa taarifa zaidi, piga namba inayoonekana kwenye kipeperushi (0752 90 41 52 au 0675 90 41 52). Nawatakia utajiri mwema.
Samahan mkuu,
Semina ipo mkoa gani? Wilaya? Mchango au kiingilio? Masomo ni kuku wa nyama au mayai? Naomba majibu tafadhali
 
Samahan mkuu,
Semina ipo mkoa gani? Wilaya? Mchango au kiingilio? Masomo ni kuku wa nyama au mayai? Naomba majibu tafadhali
Mkuu, semina itafanyika katika mkoa wa Dar es Salaam kuanzia tarehe 9-11 Machi, 2016. Gharama za ushiriki ni Tsh 50,000/= kwa kila mshiriki. Na usajiri kwa washiriki utafanyika ONLINE kupitia anuani hii hapa: plus.shuledirect.co.tz
 
Back
Top Bottom