Semina ya Single wote Mwanza

hahahhaha.... xo ujipatie mbinu tena na ukimpata utafanyia yale ambayo ugetamani kufanya kawa aliyepikwa supu
 
hahhhhahahaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji10] [emoji10] [emoji3] [emoji3] USIKOSE HUENDA NI KWA AJIRI YAKO.
Kijana wangu hatakuja kwa sababu bado yupo kwenye sheria za familia. Kurudi nyumbani mwisho saa 01:30 usiku. Zaidi ya hapo hatuwezi kuelewana. Utawapata wale wasiokuwa na uangalizi.
 
Reactions: lup
hahahhaha.... xo ujipatie mbinu tena na ukimpata utafanyia yale ambayo ugetamani kufanya kawa aliyepikwa supu
Hapana ubavu ni mmoja tu, mie sina changu tena
Afu Mpendwa kuandika xo uache, huu ni uandishi wa kihuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…