Ni namba tu mkuu... Halafu tutakua tunakumbushana neno la semina kwenye simu.....watu kwa namba za cm...haya bhana
hahhhhahahaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji10] [emoji10] [emoji3] [emoji3] USIKOSE HUENDA NI KWA AJIRI YAKO.Ni namba tu mkuu... Halafu tutakua tunakumbushana neno la semina kwenye simu.....
Dar!? Dar hapana! Mtatufatilia kwenye fb... Ha ha ha haaaa,.. Wameitamani sana.Na huku dar tunahitaji iyo semina
Asante sana mkuu, ntakuwepo.... Daaah! Hiyo sio ya kukosa mkuu, inahusika saana.hahhhhahahaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji10] [emoji10] [emoji3] [emoji3] USIKOSE HUENDA NI KWA AJIRI YAKO.
Hainaga shida mkuu, pamoja saana....Usipojari nitakukumbusha P.M ijumaa asubuhi
Huo muda msipokuwa makini na shetani naye anaweza kuja kuhudhuria.HII NI KWA WATU WOTE NA WA DINI ZOTE.
Ijumaa hii tarehe 26.08.2016. ndani ya Mwanza jioni mahsusi kwaajili ya vijana ambao hawajoa wala kuolewa katika kanisa la T.A.G Mwanza International Community Church (T.A.G-MICC) nyegezi kona na Mchungaji Zakayo Nzogere kuanzia SAA 12:00 jioni hadi SAA mbili usiku. Karibu sana, mkaribishe na mwenzako kuanzia miaka 18 na kuendelea. BWANA ana neno kwaajili yako, kuja upokee.
SHUKIA HAPO KWA HEKIMA NA UTAONA KIBAO CHA MICC KINAELEKEZA,
USAFIRI WA KURUDI HADI MJINI UPO NA UTATOLEWA BURE.
AMBIA NA MWINGINE
In Mwanza this Friday 26.08.2016, special singles evening at MICC nyegezi corner with pastor Zakayo Nzogere. From 6pm to 8pm, welcome and invite all of your single friends of 18 years and above. Lord has a word for you, come and receive it
You can share in your social networks walls and pages...