Semina ya ndoa ni zaidi ya ndoa

kapistrano

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,244
453
Habari wana jukwa la mahusiano nilichojifunza mimi napenda niwape na wenzangu kwani
Semina zinazotolewa kabla ya ndoa ni zaidi ya ndoa kwani wana ndoa wakizingatia seminar
Kabla ya ndoa na maana ya ndoa ni maagano kati ya watu wawili na swala la kupata watoto ni
Majariwa ktk maisha ya ndoa na kitu kingine cha kudumisha ndoa lazima wanandoa lazima wawe na
Hofu ya MUNGU nawasilisha.
 
yap, uliwai kusoma kitabu cha padre dr. Deogratias Mbiku wa chuo kikuu? kinahusu uchumba na ndoa. ni kizuri sana
 
Habari wana jukwa la mahusiano nilichojifunza mimi napenda niwape na wenzangu kwani
Semina zinazotolewa kabla ya ndoa ni zaidi ya ndoa kwani wana ndoa wakizingatia seminar
Kabla ya ndoa na maana ya ndoa ni maagano kati ya watu wawili na swala la kupata watoto ni
Majariwa ktk maisha ya ndoa na kitu kingine cha kudumisha ndoa lazima wanandoa lazima wawe na
Hofu ya MUNGU nawasilisha.
yale maneno tu bana!we come this way muishi pamoja then ndo ikupe tafsiri sahihi ya ndoa ni nini na ni zaidi ya nini!'kila la kheri mkuu!
 
Kama tunaweza kuyafuta yote kwenye hizi senina za ndoa kwa makini
 
huwezi ukafundishwa siku/wiki naukayashika maishani mwako. Kwa kifupi mimi naona husaidia kwa 20% inayobaki huanza pale unapoaza kujitegemea kiakili na unapopata ufahamu wa kujua nini ufanye na nini usifanye na malezi ya familia yako
 
Umeshamaliza maliza ''semina'' ya ndoa bado ''sinema'' ya ndoa sasa andaa popcorn za kutosha!!
 
Back
Top Bottom