William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,391
- Napenda kuwafahamisha my people here kwamba as a part of Celebrations ya my Social Media Company kutimiza miaka 3, tutakuwa na Semina maalum ya "KUZALIWA MASIKINI SIO ADHABU YA KIFO" ambayo nitawaita Vijana Matajiri na Viongozi wa Taifa, kuja kuzungumza na Vijana 300 wanaopigana na maisha sasa hivi, waweze kuwapa muongozo na maarifa ya jinsi walivopigana na vikwazo vya maisha mpaka kufikia walipo.
- Semina hii itafanyika Golden Jubilee Towers Downtown Dar, Gorofa ya 4 siku ya tarehe 26/2/2016 kwa wanaotaka kushiriki kutokea hapa ni kwamba zimebaki nafasi chache sana so jaribu kutuma message at +255 784 714 283 at watsap and see kama unaweza kupata nafasi.
- So ratiba ya sherehe ipo hivi: Tarehe 25/2/2016 ni PRESS CONFERENCE at City Sports Lounge downtown Dar, Tarehe 26/2/2016 tutakuwa na Semina maalum at the Golden Jubilee Towers, Tarehe 27/2/2016 tutakuwa na Dinner & Dance Party at Hyatt Regency Kempisk Hotel, na ni kwa mualiko maalum.
le Mutuz