Semina ubungo plaza

Sajo.Inc

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
6
Reaction score
4
SEMINA UBUNGO PLAZA.. Watu wakaanza kujitambulisha, Wa1:Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa 2, nasoma LAW,, Wa 2: Mimi naitwa Stella niko UDSM mwaka wa 3 nasoma PUBLIC RELATION,,,Wa3: kwa kusuasua sana huku akijishtukia,, Mimi naitwa Paul niko TANESCO mwaka wa4 nasoma MITA...
 
Mi niko duniani mwaka wa20 nasomea maisha
 
ahahahahahhahahahhahahahhahahahhahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Uwiii,ahhahahaaa mhihiihiiiii,hahahahahi!ehuuuuuuuu!ama kweli umenichekesha asubuhi hii!
 
mi nipo mwananchi mwaka wa kumi nasoma gazeti
 
Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Unajua jamaa alipoona kila mtu anasema mimi flan niko mwaka fulani na nasomea kitu fulani! Akajua ndio mtiririko huo aka formula!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…