ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,310
- 4,040
Ole wako uchukue Sambusa mbili!!
lakini ukipiga hesabu ya bei ya hindi moja ni Tsh 1000 na sambusa moja ni Tsh 1000. Sasa hapo ni aina ya kibwagizo au bei ya kibwagizo? Wacha muvi iendelee.
Ningekuwa bosi wa hiyo semin, mhindi mmoja wangegawa watu watatu.
Lazima uvipende tuNapenda vyakula fresh vya kuchemsha kama mahindi, viazi, mihogo & the likes ... Sasa hapo ukishushia na maziwa baadae inakuwa burudani.
Ndio hivyo mkuu. Mimi mwenyewe ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka kumi, nilianza enzi ya mzee wa malofa, hali ya vikao kwa sasa ni ngumu kumesa. Zamani ilikuwa ni mwendo wa mabagia, fulu menyu na li juisi kopo zima kwa kila mtu na bahasha nzito. Kwa sasa mwisho wa kikao unapewa asante ya mdomo. Ni maumivu hakunaga. Kwa sasa mimi vikao vingi natoa udhuru, sihudhurii kwani havina mvuto.
Cheko sana!Hhhhhhaahhaaa sambusa moja hushibi ila hilo hindi moja ukipga na maji swaaaafi kabsa na unarud mzigoni
Hapa kazi tu
kumbe kwenye hiyo semina mpaka wahindi walihudhuria?Ningekuwa bosi wa hiyo semin, mhindi mmoja wangegawa watu watatu.
Nasikikia ilikuwa sh 20000 Tshsijui kama ni kweli hii.. bajeti yake halisi ilikuwa shilingi ngapi mpaka wapike mahindi?
tatizo ni mambo mageni kwetu,mpaka tuje kuzoea itatuchukua miakaMmeniacha wakuu wangu
Nacheka siyo kidogo..
Kwani hivyo vyakula vilikuwa forbiden kwenye menu za semina? Nadhani tunakuza soko la ndani