Semina na Vikao vya awamu hii ni hatari kwa wenye vidonda vya tumbo

lakini ukipiga hesabu ya bei ya hindi moja ni Tsh 1000 na sambusa moja ni Tsh 1000. Sasa hapo ni aina ya kibwagizo au bei ya kibwagizo? Wacha muvi iendelee.
 
Inawezekana ilikua starter tu hiyo
Ndio hivyo mkuu. Mimi mwenyewe ni mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka kumi, nilianza enzi ya mzee wa malofa, hali ya vikao kwa sasa ni ngumu kumesa. Zamani ilikuwa ni mwendo wa mabagia, fulu menyu na li juisi kopo zima kwa kila mtu na bahasha nzito. Kwa sasa mwisho wa kikao unapewa asante ya mdomo. Ni maumivu hakunaga. Kwa sasa mimi vikao vingi natoa udhuru, sihudhurii kwani havina mvuto.
 
Sasa kama mnasikia hotel zinabadilishwa matumizi na kuwa hostel au vyuo ujue nyingi uhai wake ulikuwa Kwa warsha na semina za serikali.
 
Ningekuwa bosi wa hiyo semin, mhindi mmoja wangegawa watu watatu.
 
lakini ukipiga hesabu ya bei ya hindi moja ni Tsh 1000 na sambusa moja ni Tsh 1000. Sasa hapo ni aina ya kibwagizo au bei ya kibwagizo? Wacha muvi iendelee.
Kama yanatoka kwenye shamba la kijiji, lazima bei itakuwa chini ya buku,labda ndoo ya maji ya kuchemshia na tu chumvi.
 
Back
Top Bottom