Unaenda kula au kufanya kazi?Uwe unakwenda na mapochopocho yako.
Mapumziko unakandamiza msosi wako vizuri.
Hii nimeipenda, aongeze kidogo. Badala ya kila meza kuwa na maji, iwekwe water dispenser na vikombe. Ukitafuna karanga au kula hindi la kuchoma unaenda ku-refill glass yako...ngoma isambe!Duuuuu! Mzee Pombe punguza kidogo baana maana watu wameanza kuishi kama mashetani