• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Semina kubwa ya biashara

bereng

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
114
Points
170
bereng

bereng

Senior Member
Joined Feb 5, 2013
114 170
Wana jf,
napenda kuwakaribisha wote mnaopenda kujifunza ujasiriamali kushiriki mafunzo ya siku 3, ya biashara yatayofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15 decemba katika hotel ya victoria palace iliyoko kapripoint mjini mwanza. Mafunzo yatatolewa na mshauri wa biashara, mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara na ceo wa kampuni ya cpm business consultant bwana Charles M. Nazi.
Ratiba ya mafunzo itakuwa kama ifuatavyo;-
tar 13 decemba.
3:00-4:00 nini maana ya ujasiriamali
4:00-5:00 chai ya asubuhi
5:00-6:00 siri ya utajiri.
6:00-700 chakula cha mchana
7:00-8:00 jinsi ya kuanzisha biashara
8:00-9:00 jinsi ya kutafuta masoko

tar 14 desemba
3:00-4:00 jinsi ya kupambana na vikwazo
4;00-5:00 chai ya asubuhi
5:00-600 jinsi ya kutunza kumbukumbu
6:00-7:00 chakula cha mchana.
7:00-8:00 mifano hai
8:00-9:00 maswali na majibu.

Tar 15 decemba
3:00-4:00 jinsi ya kuandaa mchanganuo wa biashara.
4:00-5:00 chai ya asubuhi
5:00-6:00 kuandaa mchanganuo (group studies)
6:00-7:00 chakula cha mchana
7:00-8:00 kuwasilisha
8:00-9:00 maswali na majibu/hitimisho

Gharama za mafunzo ni tsh. 25,000/- elfu ishirini na tano tu. Kadi zinapatikana na ziko chache.
Kwa maelezo zaidi piga namba 0784 162979.
Ukurasa wa Charles ni www.mshauriwabiashara.weebly.com
 
bereng

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
114
Points
170
bereng

bereng

Senior Member
Joined Feb 5, 2013
114 170
karibuni tujifunze mbinu za ujasiriamali
 
bereng

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
114
Points
170
bereng

bereng

Senior Member
Joined Feb 5, 2013
114 170
mafunzo haya yameandaliwa na taasisi ya tuwafikie tanzania organisation. Taasisi itatangaza nafasi chache za kazi ya ualimu wa ujasiriamali kwa vijana katika mradi wake wa WEZESHA MJASIRIAMALI baada ya mafunzo kwa watakaopenda.
 

Forum statistics

Threads 1,403,306
Members 531,177
Posts 34,419,981
Top