mhhhh
hakuna mtu mwenye semina elekezi ya zaidi au kupunguza kuongeza an kuponda kamchango kangu.
mchango wako n mzuri sana japo una mapungufu fulan ya kiukufunz sijui n kwa sababu hukulenga kutoa semina elekez kama kichwa habari kinavyosomeka au hukujua ufanye nn kufikisha ujumbe ni kama umetoa utangulz wa jambo ulilotaka kulizungumzia na ukaacha kuongelea kiin cha chambo.
Kwa mfano umetoa aina za watu kama risk taker na risk avoider lakn hujaeleza kwa undan khusu watu hawa, umeongelea DSS lakn hujaitolea ufafanuz na wala hujaeleza aina za decision making wala proces za decision making.
Umejaribu kutoa source congrats bt that is not enough may kama semina bado inaendelea. Bt gd start its a gd thng to do.
Haya katika ufutilia mwenendo wa siasa na uongozi nchi mwetu nimegundua katika matatiz mengi tuliyonayomoja vyanzo vya matatizo ni la kufanya maamuzi kwa lugha ya kimomdbo tunasema decision making.
Najua viongozi wa serikali ,mashirika na taasisi wanahudhuruai semina elekezi nyingi lakini nina wasi wasi kwenye semina elekezi walizohudhuria wamewahi kukumbushwa umuhimu, faida na hasara za kutokuwa na standards katika kufanya maamuzi ya kiofisi.
Viongozi na watendaji wakiwa na structure maaluma ya kufuta au system kabla ya kufikia maamuzi fulani basi asilimia ubwa uamuzi watakaofanya utakuwa ni sahihi.
Kuna nyenzo nyingi na rahisi mfano mojawapo inaitwa decision tree (soma http://www.mindtools.com/dectree.html ) inayoweza kutumika kuumpa picha decision maker
Karne hii kuna mifumo ya computer inayoitwa Decision Support system ambayo data sahihi zikiingizwa basi Decison makers wetu wangefanya maamuzi sahihi ya kifedha, afya , elimu etc.
- Faida au hasara ya kila amuzi atalofanya
- Faida za muda mfupi na muda mrefu wa kila maamuzi atakalofanya
- Gharama na kila maamuzi
- Risk ya kila maamuzi
Je
- Je wizara idara mashirika yantumia decsion making model gani katika kugawa tender,kuwekeza,kubinafsisha, kuajiri, kupanga bajeti?
- kuna mambo tunshindwa kupiga hatua sababu viongozi wetu ni risk taker katika maamuzi yao
- kuna shemu tunashindwa kupiga hatua sababu viongozi wetu ni risk avoider katika maamuzi yao
Wenzetu kwenye karne hii ya sayasi na Teknolojia hawafanyi tu maamuzi kwa uzoefu. This world we are living is complex na kuna factor nyingi za kuzingatia ambazo kichwa cha binadamu sio rahisi kuinyambulisha zote na kufanya maamuzi bila msaada wa teknolojia. Ndio maana katika mifumo ya kompyuta una system zinaitwa Decision Suport system ( DSS)
- Sekta gani au maamuzi gani ya yainahitaji decison maker amabao ni risk taker na sekta au viongozi gani wanataiwa kuwa risk avoider?
Kwa article mbali mbali la hili somo nyeti hasa kwa viongozi tembelea au mnaweza ku google Decision Making process.
http://www.decision-making-confidenc...ng-models.html
http://www.decision-making-confidenc...ng-models.html
DECISION MAKING PROCESS
Kashfa kama za Richmond, Radar na nyinginezo zinaoneysha Decsion making za serikali na taaisis nyingi kwa asilimia kubwa zinategema mtu badala ya utaratibu na model fulani. Hili ni tatizo.
Hiyo ni semina yangu elekezei kwa viongozi wote.
Karibu tueedelee kutoa semina elekezi huru
Wazo zuri ,ila semina Elekezi yako ina mapungufu yafuatayo:
1-Semina yako haina Seating Allowance wala Per Diem
2-Semina ili iwe Elekezi lazima Mkuu wa Kaya awepo
3-Kumbuka uongozi unaupata kwa Kujuana na siyo kwa uwezo mzuri kitendaji ila kwa uwezo mzuri ktk Ku-Network
4-Tunafanya maamuzi kisiasa zaidi.
5-Viongozi huwa hawawajibishwi na waliowatuma-i.e Wanainchi ila wanawajibishwa na wanasiasa wenzao
Mtoa mada mawazo yako yanafaa ktk nchi kama Rwanda ,Botswana na nchi zingie nje ya Africa.
mkuu tunashukuru,ila watanzania wengi wavivu wakusoma habari ndefu.
hahhahahahah hiyo ni kawaida ya wanasiasa lakini inashanagza hata wanasheria wetu wa Tanzania nao wana alagey na document ndefu...........
Ndio maana hata mikataba wanshindwa kusoma wanakimblia kuweka sahihi. Siku mambo yakiharibika ndio wanagundua ohhhhh kumbe maamuzi fulani sikutakiwa kuyachukua kwa pupa au kwa mazoea
tratibu tutafika
Hapa tusizunguke zunguke ukweli ni kwamba most of our decision makers are very slow in making those maamuzi na funny enough waoga, na sababu kubwa most of them are unfit not only for the post they hold but even for human consumption, B'se they are not for the public interest.