......
Kinachonibana kwa sasa ni ku nataka mada au muuongozo kua, niwape semina gani vijana hao!? Yaani niwafundishe nini!?
Yap mkuu ndio hapa tunaweza kujadiliana a katika hizo siku mbili kwa kwa masaa matano kwa ila siku yaani jumka masaa 10 . nini tuwafahamishe . Yaani tujadialiane content za presentation. Zaidi naona Internet ndio litakuwa somo kubwa. Dhumuni kuu ni
Awareness Maa na sasa hiiv nchini kwetu awareness ya kisiasa ni kubwa sana lakini awarenes ya tehcnology na ICT kwa walimu na wanafunzi ni ndogo.. Mimi ni shahidi nimekuja kujua tovuti nzuri amabazo zingenisaidia sana hata college baada ya kumaliza chuo......... Kwa kuwa ni awareness sio lazima kuwe na komyuta nyingi. Kama wahsirki watauwa 30 zinaweza hitajika kompyuta 5 kwa demostrration.
Mfano ili kuwe na standard presenetation tunaweza kuelezea
- jisni ya kutumia internet kutafuta vitabu
- Kutumia internet kutafuta vitabu amabvyo havipatikani kirahisi eg Amazon
- Searching gooogle , Bing na zinavyoweza kuwasadia
- Kubadilisha idea wao kwa wao eg walimu wa mwanza na dar wa physics kwa kutumia social group facebook
- inavyweza kuwasadia kuonyesha practical s fulani katika video .( Hii itawasaidia wanafuzi kuelewa masomo vizuri zaidi)
- Risk za internet ( utapeli kwa utumia mtandao, etc )
- maswali na majibu
- etc
Kifupi kuna mambo mengi ya kuwafanya walimu na waafuzni wawe aware zaidi
walimu walio wengi watagoma WAKITAKA POSHO KWANZA ILI WAHUDHURIE.... Watanzania walio wengi hawaenda kunako semina/conference/tradeFair kupata knowledge bali wanaenda kutafuta fedha posho au punguzo la bei! Hvyo basi, wazo liwe kwa wanafunzi na wadau wengine waliopo kitaa (ambao sio lazima wawe wanafunzi)....
Saidi mambo ya posho hiyo itakuwa none of our business. sisi kam watanzania wazelendo tutakuwa tuonyesh moyo. Posho ni issue ya walimu na wizara yao Sisi tukocentrate kwanza kuwasilisha hiyo hoja. kwa ofifficial proposal . Sisi au wewe kazi yetu haitakuwa kwenda kuongea na mwalimu au wanafunzi sisi tunaomba wizara itupatie walimu na wanaafuzi kadhaa amabao tutawaelimsiha mambo amabyo tutakuwa tumeainsiah wenye proposal hiyo.
Mbili ni kua, badala ya kutumia katibu au jf, ni bora tujipange wenyewe tutafute sponsors cz wazo ni nzuri na muhimu kwa taifa ila ukipeleka huku utaambiwa SUBIRI TULIUNDIE TUME, majibu utayapata mwaka 2050. In short BUREAUCRACY itakua kubwa sana!
Mimi kama katazamaji as individual huku porini inaweza kuwa kai kubwa. So insitituion kama JF inakuwa na Uzito wake. Kama vipi itapendeza watumike hata wale jamaa wa Tanzania network of profession. Lakini kuhsu psonosr sponsor mzuri wa mradi huu ni serikali . Kwanza ni muri sbabau ni wajibu wake. may be Serikali wakigoma tunaweza ufirikia utafut sponsor wengine.
Mdee Project hii inaweza hata isianze katia level ya wizara lakini ni wazo unaweza kujaribu kulifanyia utafiti kivipi linaweza kushirikisha ofisi ya Halamshauri au Ofisi ya muu wa moa wa mbeya. The best and scuecsful projects ni zile za kufanya na serikali. Wahindi wanafaidka kibiashara sasa sisi tuanze kwa kujitolea tutaiona faida yake. kwa jamii na wetu binafsi.
kitu nachoaaamini sisi tunadike proposal. Itakuwa kumbukumbu yao na yetu kuwa kuna wakati tulionyesha nia wakagoma. Tuki assume tuna tusipowashtua tutakuwa tumewarahishia uzembe.. Bora tuandike. wakaate .Things will be in record. Bora tuwaandikei eg december wakijibu june itauwa record kwetu na kwao.
Tatu ni kua, changamoto kuu itakua kupata seminar materials, facilities and tools kama vile printed lectures(japo slides), rooms, internet, pcs/laptops
Material ndio hizo sisi inabid tujadilaine vitu gani tuwafamishe. Na material gani tutawapa
Rooms kama wizara ikikubali yenyewe ndio ita book eneo la tukio na kigezo eneo ni lazima liwe na internet connection.
Laptop au komyuta tunaweza kuomba Wizara itoe nne au tano eneo la tuio ziatazo tumika uonyesha demonstration. But haya nimawazo tu naweza uwa sina mtazamo sahihi ndio maana ya majadiliano
Yaaani kifupi proposal tunayotakiwa kuandika itakuwa imebeba kila kitu tunachotaka kufanya . kiasi kwamba Awe ni katibu mkuu au mkurugenzi wa halmashauri au RC akisoma aone umuhimu.
- Dhumuni letu
- Kwa nini tumelenga walimua na wanafunzi
- Perception yetu ya mtazamao na matumzi ya internet na copmputer ulivyo sasa kwa walimu na wanafunzi
- faida watayopata walimu na wanafuzni watakaokuwa wamepata semina hizo kwa masaa hayo 10( ukiodnoa posho)
- Nini kitahitajika upande wa waizara au halmashauri(
- Content watazoongelea watalaam (
- Proposed date
Kifupi
kuna project amabzo kwa haraka haraka zinaweza kuonekana ni Non profit lakini zina faida kubwa.
Mhe. Mtazamaji una wazo zuri ila ambalo haliko polished vizuri (au halijafikiriwa katika mapana yake).
Unapotaka TUandike proposal, hao TU-- ni akina nani? Au umesahau ile project nyingine ya directory? Kama unataka ku-spearhead hii kitu then njoo na kila detail ya kuanzia halafu members wasaidie kujazia. Mdee hapo juu amegusia changamoto almost zote.
Hahhaha Gurta umenikumbusha Directory . Tatizo ni kuwa tumezoea kufanya vitu vidogo vidogo au vikubwa bila kufuta formalities. Sasa wahindi wanatupiga bao sababu hata kabla hajatoa rushwa akimbia kuandika proposal anatuppiga bao. kwa experince ya diectory ilinioenyesha kuwa watu
hatupendi mambo ya documentation na formalities
Mfano hapa ingekuwa wanatafutwa walimu wa kujitolea kufundisha. Naamin tungekuwa wengi. Laini linapkuja suala la ku plan proposal writing, SPONSOR tuwa convice vipi kiofis( Bila rushwa ) hapo ndipo tunapopigiwa bao.
Kwa hiyo inabidi member wote tusaidiane. Hakuna bingwa wa kila kitu
Mfano kuna watu wa ICT wanafaidaka inagwa project zao hazikuwa za kutafuta faida mfano ni hii
KHANACADEMY . jamaa waliona tatizo la
elimu na vifaa na walimu kwa watoto. Akaandika
proposal itaymuweesha japo kuweka vi low quality subejt ili watoto wasio na uwezo wa tution wasome. akapata vi fund kidogo kutoka kwenyejimbo la mkoa fulani i.
Mara
NGO za India nchi nzima zikaanza kutambua mchango material zikazidi kuongezeka. Project ikajulikana nchi nzima. Baadae taarifa zikamfikia billgates akaamau kufund hiyo
NON profit project. jamaa ikabidi waache kazi zao rasmi.Nadhani sasa hivi ni taaasisi kabisa na wamejri watu wengi. sitashangaa kuona wanaajairi hadi walimu wao na kutenegza content zao.
Kwa wakati watu wafikirie project za ICT zenye kutoa huduma kwa jamii na zisizo na mtazamo wa kupata faida ya cash. kuna style ya project kama hiyo ya KHANACADEMY zipo nyingi.
Ni kushirikiana au kujaribu kuishtua serikali amabyo bado imelelaa. Na kushiikiana na seriali kunataka
proposal. Ndicho wahindi wanchofanya. La sivyo tutaishia kwenye project za kuanzisha forum ba blogs
Tukishirikiana tunaweza lakini mtazamaji peke yae ni ngumu. yeye huwa ana mawazo tu teh teh teh