Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wana Jf wa Teknolojia nina wazo.
Wazo gani?
Tuandike proposal wizara ya elimu kuhusu wana ICT kujitolea kuwabrush na uwapa mwanga walimu kuhus fursa za ICT.
Proposal hiyo tumwandikie katibu mkuu kuwa wadau wa ICT wa jf wanataka kutoa semina elekezi kwa walimu na wanafuzi juu ya fursa za ICT katika elimu.Kifupi tujitoleee ila wizara igharimike gahrama za ziada zitakazotokana na semina hizo
Kwahiyo tunamwambia kwa siku za jumamosi na jumamosi na jumapili ya wiki moja watapewa semina elekzi walimu wachahe kutoka shule mbali mbali ( Eg 40 kutokana eneo wizara ililochagua) wa shule walichaguliwa na wizar yenyewe kuhudhuria hiz semina.
Then wiki nyingine Jumamosi na jumapili itakuwa zamu ya wanafunzi wa shule mbali mbali eg wa kidato cha nne na tatu. Mafanikio na mapungu ya zezi hilo yatakuwa input kubw akwetu na wizara ya elimu na yanaweza uwaichcheo cha semeina elekezi hizi wenda mpaa mikoani.
Changamoto kubwa
Changamoto kubwa ni kunadaaa mada zitazotolewa kwenye semina elekzi hizo specific kwa wanafuzi specifi kwa walimu. Asumming wahusika wakuu wote tunajua knoweldge ya ICT waliyonayo walimu wengi wa ICT na mapungufu yake.
Changamoto nyingine ni kumshaiwishi katibu mkuu kuwa semina elekzi hii ni muhimu kwa walimu na wafunzi na sisi ama watanzania wazelendo tumejtolea.
But tujue hatutamia fursa hii kuwa watu wa masoko kusifia sijui chuo gani
Uko tayari kushiriki?
Je
Tujiulize ni
Nawasilisha

- Nani yuko tayari kushirki ,kupanga na kufanikish zoezi hili.
- maxence melo na invisble uongzi wa JF mko tayari kuwaslisha proposal tutakayondaa kwenda wizara ya elimu kwa manufaa ya jamiii? Maana barua ya JF inaweza kuwa na uzito zaidi kuliko ka proposal ka katazamaji teh teh teh
Tujiulize ni
Nawasilisha