Semina elekezi kwa walimu na wafunzi kuhusu ict

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,437
Wana Jf wa Teknolojia nina wazo.

Wazo gani?

Tuandike proposal wizara ya elimu kuhusu wana ICT kujitolea kuwabrush na uwapa mwanga walimu kuhus fursa za ICT.

Proposal hiyo tumwandikie katibu mkuu kuwa wadau wa ICT wa jf wanataka kutoa semina elekezi kwa walimu na wanafuzi juu ya fursa za ICT katika elimu.Kifupi tujitoleee ila wizara igharimike gahrama za ziada zitakazotokana na semina hizo

Kwahiyo tunamwambia kwa siku za jumamosi na jumamosi na jumapili ya wiki moja watapewa semina elekzi walimu wachahe kutoka shule mbali mbali ( Eg 40 kutokana eneo wizara ililochagua) wa shule walichaguliwa na wizar yenyewe kuhudhuria hiz semina.

Then wiki nyingine Jumamosi na jumapili itakuwa zamu ya wanafunzi wa shule mbali mbali eg wa kidato cha nne na tatu. Mafanikio na mapungu ya zezi hilo yatakuwa input kubw akwetu na wizara ya elimu na yanaweza uwaichcheo cha semeina elekezi hizi wenda mpaa mikoani.

Changamoto kubwa
Changamoto kubwa ni kunadaaa mada zitazotolewa kwenye semina elekzi hizo specific kwa wanafuzi specifi kwa walimu. Asumming wahusika wakuu wote tunajua knoweldge ya ICT waliyonayo walimu wengi wa ICT na mapungufu yake.
Changamoto nyingine ni kumshaiwishi katibu mkuu kuwa semina elekzi hii ni muhimu kwa walimu na wafunzi na sisi ama watanzania wazelendo tumejtolea.
But tujue hatutamia fursa hii kuwa watu wa masoko kusifia sijui chuo gani

Uko tayari kushiriki
?
Je
  • Nani yuko tayari kushirki ,kupanga na kufanikish zoezi hili.
  • maxence melo na invisble uongzi wa JF mko tayari kuwaslisha proposal tutakayondaa kwenda wizara ya elimu kwa manufaa ya jamiii? Maana barua ya JF inaweza kuwa na uzito zaidi kuliko ka proposal ka katazamaji teh teh teh

Tujiulize ni

Nawasilisha
 
Mimi nitashiriki kwa nguvu kabisa jijini mbeya...

Kinachonibana kwa sasa ni ku nataka mada au muuongozo kua, niwape semina gani vijana hao!? Yaani niwafundishe nini!?

Bwana mtazamaji, nikipata watu wanne kama wewe tutakua far sana kwa ICT hapa tanzania!

Mi nina ushauri katka hili!

Kwanza, wazo nizuri kwa kuwafundisha students and teachers tena on sundays or saturdays....

walimu walio wengi watagoma WAKITAKA POSHO KWANZA ILI WAHUDHURIE.... Watanzania walio wengi hawaenda kunako semina/conference/tradeFair kupata knowledge bali wanaenda kutafuta fedha posho au punguzo la bei! Hvyo basi, wazo liwe kwa wanafunzi na wadau wengine waliopo kitaa (ambao sio lazima wawe wanafunzi)....

Mbili ni kua, badala ya kutumia katibu au jf, ni bora tujipange wenyewe tutafute sponsors cz wazo ni nzuri na muhimu kwa taifa ila ukipeleka huku utaambiwa SUBIRI TULIUNDIE TUME, majibu utayapata mwaka 2050. In short BUREAUCRACY itakua kubwa sana!

Tatu ni kua, changamoto kuu itakua kupata seminar materials, facilities and tools kama vile printed lectures(japo slides), rooms, internet, pcs/laptops

Ila idea nzuri.... Kama kuna mwingine naomba ajiunge! Hii itakua ni moja kati ya idea nzuri za kukuza soko letu la ICT bongo!
 
Mhe. Mtazamaji una wazo zuri ila ambalo haliko polished vizuri (au halijafikiriwa katika mapana yake).

Unapotaka TUandike proposal, hao TU-- ni akina nani? Au umesahau ile project nyingine ya directory? Kama unataka ku-spearhead hii kitu then njoo na kila detail ya kuanzia halafu members wasaidie kujazia. Mdee hapo juu amegusia changamoto almost zote.
 
......

Kinachonibana kwa sasa ni ku nataka mada au muuongozo kua, niwape semina gani vijana hao!? Yaani niwafundishe nini!?

Yap mkuu ndio hapa tunaweza kujadiliana a katika hizo siku mbili kwa kwa masaa matano kwa ila siku yaani jumka masaa 10 . nini tuwafahamishe . Yaani tujadialiane content za presentation. Zaidi naona Internet ndio litakuwa somo kubwa. Dhumuni kuu ni Awareness Maa na sasa hiiv nchini kwetu awareness ya kisiasa ni kubwa sana lakini awarenes ya tehcnology na ICT kwa walimu na wanafunzi ni ndogo.. Mimi ni shahidi nimekuja kujua tovuti nzuri amabazo zingenisaidia sana hata college baada ya kumaliza chuo......... Kwa kuwa ni awareness sio lazima kuwe na komyuta nyingi. Kama wahsirki watauwa 30 zinaweza hitajika kompyuta 5 kwa demostrration.

Mfano ili kuwe na standard presenetation tunaweza kuelezea
  • jisni ya kutumia internet kutafuta vitabu
  • Kutumia internet kutafuta vitabu amabvyo havipatikani kirahisi eg Amazon
  • Searching gooogle , Bing na zinavyoweza kuwasadia
  • Kubadilisha idea wao kwa wao eg walimu wa mwanza na dar wa physics kwa kutumia social group facebook
  • inavyweza kuwasadia kuonyesha practical s fulani katika video .( Hii itawasaidia wanafuzi kuelewa masomo vizuri zaidi)
  • Risk za internet ( utapeli kwa utumia mtandao, etc )
  • maswali na majibu
  • etc
Kifupi kuna mambo mengi ya kuwafanya walimu na waafuzni wawe aware zaidi

walimu walio wengi watagoma WAKITAKA POSHO KWANZA ILI WAHUDHURIE.... Watanzania walio wengi hawaenda kunako semina/conference/tradeFair kupata knowledge bali wanaenda kutafuta fedha posho au punguzo la bei! Hvyo basi, wazo liwe kwa wanafunzi na wadau wengine waliopo kitaa (ambao sio lazima wawe wanafunzi)....

Saidi mambo ya posho hiyo itakuwa none of our business. sisi kam watanzania wazelendo tutakuwa tuonyesh moyo. Posho ni issue ya walimu na wizara yao Sisi tukocentrate kwanza kuwasilisha hiyo hoja. kwa ofifficial proposal . Sisi au wewe kazi yetu haitakuwa kwenda kuongea na mwalimu au wanafunzi sisi tunaomba wizara itupatie walimu na wanaafuzi kadhaa amabao tutawaelimsiha mambo amabyo tutakuwa tumeainsiah wenye proposal hiyo.

Mbili ni kua, badala ya kutumia katibu au jf, ni bora tujipange wenyewe tutafute sponsors cz wazo ni nzuri na muhimu kwa taifa ila ukipeleka huku utaambiwa SUBIRI TULIUNDIE TUME, majibu utayapata mwaka 2050. In short BUREAUCRACY itakua kubwa sana!
Mimi kama katazamaji as individual huku porini inaweza kuwa kai kubwa. So insitituion kama JF inakuwa na Uzito wake. Kama vipi itapendeza watumike hata wale jamaa wa Tanzania network of profession. Lakini kuhsu psonosr sponsor mzuri wa mradi huu ni serikali . Kwanza ni muri sbabau ni wajibu wake. may be Serikali wakigoma tunaweza ufirikia utafut sponsor wengine.

Mdee Project hii inaweza hata isianze katia level ya wizara lakini ni wazo unaweza kujaribu kulifanyia utafiti kivipi linaweza kushirikisha ofisi ya Halamshauri au Ofisi ya muu wa moa wa mbeya. The best and scuecsful projects ni zile za kufanya na serikali. Wahindi wanafaidka kibiashara sasa sisi tuanze kwa kujitolea tutaiona faida yake. kwa jamii na wetu binafsi.

kitu nachoaaamini sisi tunadike proposal. Itakuwa kumbukumbu yao na yetu kuwa kuna wakati tulionyesha nia wakagoma. Tuki assume tuna tusipowashtua tutakuwa tumewarahishia uzembe.. Bora tuandike. wakaate .Things will be in record. Bora tuwaandikei eg december wakijibu june itauwa record kwetu na kwao.

Tatu ni kua, changamoto kuu itakua kupata seminar materials, facilities and tools kama vile printed lectures(japo slides), rooms, internet, pcs/laptops

Material ndio hizo sisi inabid tujadilaine vitu gani tuwafamishe. Na material gani tutawapa

Rooms kama wizara ikikubali yenyewe ndio ita book eneo la tukio na kigezo eneo ni lazima liwe na internet connection.
Laptop au komyuta tunaweza kuomba Wizara itoe nne au tano eneo la tuio ziatazo tumika uonyesha demonstration. But haya nimawazo tu naweza uwa sina mtazamo sahihi ndio maana ya majadiliano

Yaaani kifupi proposal tunayotakiwa kuandika itakuwa imebeba kila kitu tunachotaka kufanya . kiasi kwamba Awe ni katibu mkuu au mkurugenzi wa halmashauri au RC akisoma aone umuhimu.

  • Dhumuni letu
  • Kwa nini tumelenga walimua na wanafunzi
  • Perception yetu ya mtazamao na matumzi ya internet na copmputer ulivyo sasa kwa walimu na wanafunzi
  • faida watayopata walimu na wanafuzni watakaokuwa wamepata semina hizo kwa masaa hayo 10( ukiodnoa posho)
  • Nini kitahitajika upande wa waizara au halmashauri(
  • Content watazoongelea watalaam (
  • Proposed date
Kifupi
kuna project amabzo kwa haraka haraka zinaweza kuonekana ni Non profit lakini zina faida kubwa.

Mhe. Mtazamaji una wazo zuri ila ambalo haliko polished vizuri (au halijafikiriwa katika mapana yake).

Unapotaka TUandike proposal, hao TU-- ni akina nani? Au umesahau ile project nyingine ya directory? Kama unataka ku-spearhead hii kitu then njoo na kila detail ya kuanzia halafu members wasaidie kujazia. Mdee hapo juu amegusia changamoto almost zote.

Hahhaha Gurta umenikumbusha Directory . Tatizo ni kuwa tumezoea kufanya vitu vidogo vidogo au vikubwa bila kufuta formalities. Sasa wahindi wanatupiga bao sababu hata kabla hajatoa rushwa akimbia kuandika proposal anatuppiga bao. kwa experince ya diectory ilinioenyesha kuwa watu hatupendi mambo ya documentation na formalities

Mfano hapa ingekuwa wanatafutwa walimu wa kujitolea kufundisha. Naamin tungekuwa wengi. Laini linapkuja suala la ku plan proposal writing, SPONSOR tuwa convice vipi kiofis( Bila rushwa ) hapo ndipo tunapopigiwa bao.

Kwa hiyo inabidi member wote tusaidiane. Hakuna bingwa wa kila kitu

Mfano kuna watu wa ICT wanafaidaka inagwa project zao hazikuwa za kutafuta faida mfano ni hii KHANACADEMY . jamaa waliona tatizo la elimu na vifaa na walimu kwa watoto. Akaandika proposal itaymuweesha japo kuweka vi low quality subejt ili watoto wasio na uwezo wa tution wasome. akapata vi fund kidogo kutoka kwenyejimbo la mkoa fulani i.

Mara NGO za India nchi nzima zikaanza kutambua mchango material zikazidi kuongezeka. Project ikajulikana nchi nzima. Baadae taarifa zikamfikia billgates akaamau kufund hiyo NON profit project. jamaa ikabidi waache kazi zao rasmi.Nadhani sasa hivi ni taaasisi kabisa na wamejri watu wengi. sitashangaa kuona wanaajairi hadi walimu wao na kutenegza content zao.

Kwa wakati watu wafikirie project za ICT zenye kutoa huduma kwa jamii na zisizo na mtazamo wa kupata faida ya cash. kuna style ya project kama hiyo ya KHANACADEMY zipo nyingi.

Ni kushirikiana au kujaribu kuishtua serikali amabyo bado imelelaa. Na kushiikiana na seriali kunataka proposal. Ndicho wahindi wanchofanya. La sivyo tutaishia kwenye project za kuanzisha forum ba blogs

Tukishirikiana tunaweza lakini mtazamaji peke yae ni ngumu. yeye huwa ana mawazo tu teh teh teh
 
Mtazamaji,

Umejaribu kujibu na ku-clear baadhi ya doubt zangu. Ila bado tatizo langu linabaki kwenye SISI, TU..., na vitu vinvyofanana na hivyo. Ili proposo ionekana kama ni kitu serious hivi na hata iweze kuangaliwa kwa jicho angalifu ni pale ambapo kutakuwa na watu wa kuwasiliana nao (contact persons). Humu bodini hatujuani (hatujulikani), tunatumia aliases, kwa kifupi tayari ile proposal ita-lack hiyo component muhimu. Ndiyo maana bado anadai awepo mtu atoke kama yeye (the real yeye) halafu wale ambao bado tunataka kutumia aliases zetu tu-support a known initiative; a project with a known person attached to it.

Nadhani muda upo wa kutosha tu, tukijua kuwa no matter who or what can be met on the way towards the realization of this goal bado haiwezekani hadi hapo baada ya Bunge la Bajeti la mwakani (endapo utaitaka MoEVT ihusishwe).

WAZO JINGINE:
Mtu kama Mdee ana hamu na nia ya kujaribu hili wazo. Kwa nini asisaidiwe huyu ili awe kama sample (forgive my French, but a guinea pig-sort-of-experiment). Tumpe mawazo ya nini afanye, kwa kutumia rasimali gani, wapi, kwa watu wa daraja au elimu au kazi gani, n.k. Halafu kutoka kwake tupate pa kuanzia? Au wewe mwenyewe, time and resources permitting. Hii ni kwa sababu sidhani kama ni wazo zuri kufanya nationwide project kabla ya ki-try out in small, manageable scale.

Gurta.
 
Wakuu maada hii ni juu ya Nchi gani?........ TZ au nchi nyingine?...........!!!!!!!!........................??????
 
Ok nimekupata mkuu ulichoongea ni kweli kabisa tunaweza kuwa na option mbilili tatu au nne.
  • Option moja ni as one indivual or group of inidividuls tusubmit proposal. Hili ni wazo zuri lakini katika levle ya wizara litapigwa chini kirahisi. may be katika ngazi ya Halmashauri au Mkoa. Said anaweza kufanya research
  • kutumia institutions fulani eg HAKI ELIMU DANIDA, JF ili kuipa ile proposal uzito . Hapa tutakuwa na kazi mbili. Kwashwishi hizi institution kuwa vijana wa kitanzania wameamua Ku VOLUNTEEERR muda wao mdogo kwa manufaa ya taifa. So propsal aliyosubit said Mdee kuwapa HAKIELIMU au JF au TPN ikienda wizara ya ELIMU inaweza kuwa na uzito zaidi kuliko Proposal aliysubmit Said Mdee na John Mtazamaji moja kwa moja......
Sasa sisi hapa tushirikiane kama wadau tuje na sample ya proposal ambayo hata akiwa Said anatrupresent kuiwakilisa au tukiamua kupeleka DANIDA au JF wakikubali basi . au amabayo mtu yeyote anaweza kuipresent kwenye mkoa au halmashauri yake. Si ni Ku VOLUNTEER . so sio business secret.

NB
Hiyo sample proposal inaweza kufail na isifikie matunda tunayotaka lakini nadhani tukiandika hapa itatoa mwanga na picha kwa watu wengi
  • aina ya ICT project wanazoweza ku engage wao binafsi au kuanzisha vigroup
  • Umuhimu wa wadau kujua mambo kama proposal writing katika project amabzo zinatakiwa makini hata kama ni za kujitolea.
Kama ulivyosema hii haiwezi kuwa vizuri kuwa national-wide. Bado najaribu kufikiria vitu vingi na kuna some compeliity Ila ni wazo amabalo hata individula hasa mwenye connectiom kwenye ofisi ya halmashauri au mkoa anaweza kujaribu. Hapa labda tuangalie jinsi ya kuandika hiyo Proposal amabyo watu wa kamachumu, mwanjelwa , mbeya au wa dar wanaweza utumia kuifikisha kwa wahusika.

Mkuu na mimi kutumia SISI na TU ni katika kuonyesha ushirikishi wa watu na kuwakarisha kusikia maoni na michango. Najua naweza kuandia ka propsoal lakini watu watatu au wanne wakiandika proposal basi wakiunganisha iwe moj itakuwa supa zaidi

Na sula la jamaa kusema hawana bajeti ilo liko wazi linajulikana lakini tusiwape unafuu kwa siekuwa na majibu yao . Bora na sisi tuwe na evidence kuwa tarehe fulani Said mdee alisubmit proposal akajibiwa hivi au akapewa jibu baada ya Miezi saba. teh teh teh Kumbuka docuemnt ni rasmi ya kiofisi.

Sasa je
  • tujaribukuandika hii proposal au ni ndoto na kwa tanzania haiwezekani?
  • mlengwa awe nani ( Wizara, halmashauri, Ofisi za mkoa, DANIDA, HAKI ELIMU etc )
Wakuu maada hii ni juu ya Nchi gani?........ TZ au nchi nyingine?...........!!!!!!!!........................??????

hahahahhaa Tunataka na sisi tujiulize swali kama lako tukishajaribu wakagoma.
 
wazo zuri mtoa mada. mie sio mwana-ICT,nimepita tu. ni typist hapa,nahesabu herufi na kidole kimoko,lol
wazo tu: kuomba wizara inakuwa na longolongo,manake hata ukisema mnajitolea kuna costs za kuwasafirisha walimu,posho za wafundishaji na wafundishwaji etc. na pia kuna mchakato wa procurement (kwa sababu kuan hela itataikiwa kuchangiwa hapo)
maoni yangu: waalimu wanatoa michango inakatwa kila mwezi kwa ajili ya CWT. mojawapo ya benefits za member ni kupata elimu. mna options 2:
1- kuomba cwt ifanye collaboration na nyie.igharamie basic costs za kuwaleta waalimu, venue na materials za kufundishia. gharama za wafundishaji pia kama ni posho ama consultancy fee pia
2- kutafuta watu wenye mapenzi mema kugharamia zoezi zima, ama in collaboration na CWT ambao wanaweza kugharamia posho za waalimu na wafundishaji, na hao wafadhili (say Hakielimu, British Council ama USAID) wagharamie vifaa vya mafunzo na kufundishia ikiwemo venue.
nawatakia kila la kheri.

NB: direct lobbying kwa wizara inaweza kuwa rahisi kama mtatengeneza NGO ama kampuni iliyo na small profit margin na kuirudisha kwenye charity mkipenda
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom