Semeni yote kuhusu Lissu lakini kuna ambao kwao ni zaidi ya mtetezi

Kiukweli Mh. Lissu naweza kumuita Great hero maaana mi binafsi pia alishawahi kunisaidia. Pia, nakumbuka huyo mzee baada ya kushinda kesi alihamia CHADEMA hadi leo na alikuwa ni diwani wa kudumu mpaka 2010.
Tuendelee kumuombea mh. Tundu apone mapema.
 
Na ninakuhakikishia kwa ccm hii ya sasa isiyojali RAIA, yenye uonevu na dhuluma pia wasema uongo Lissu hata mumuahidi kumpatia hazina yote ya nchi hawezi hats siku moja kukubali kujiunga nanyi.
Wanaomjua watakubaliana na hili.
atakuja tuu
 

Nimeupenda sana huu wimbo. Umebeba mambo mazuri sana. Abarikiwe aliyepata maono na kutunga wimbo huu.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…