Nimbaya sana kwa baba na mtoto. lakini ukichunguza sana utakuta hata upatikanaji wa hizo mimba za hao watoto ulikuwa na utata. siwatetei hao wanawake ila pia na wanaume wamezidi wanawake mafungu kuwahudumia hamuwezi mnaishiakupata wasaidizi wa kutengeneza mimba. nishashuhudia ofisini kwangu mabosi wangu 3 wote wanatembea na binti 1 tena wanafahamu alipopata mimba ilikuwa aibu, maana asubuhi kaenda kwa huyu alipomkataa jioni kaenda kwa mwingine ndo kakubali kwa sharti mtoto akizaliwa wakapime DNA, uchafu na aibu.